Mwanaume chukua somo kwenye kisa cha Talulah Riley na Elon Musk

Mwanaume chukua somo kwenye kisa cha Talulah Riley na Elon Musk

Asilimia kubwa ya wanawake ukiyumba kiuchumi kama hatokuacha, dharau atakazo kuonyesha utajuta, na kama hutomwacha kwa dharau zake ukishasimama tena atakupa heshima za kifalme Ila utakuwa ushajua una ishi na mtu wa aina gani,
Kabsa Mkuu!
 
Story za kutunga
Kuna watu zaidi ya mamilioni duniani wanaamini kuwa story za Ayubu na mke wake ni za kutunga pamoja na story ya Samson na Delila ninza kutunga
 
Back
Top Bottom