Mwanaume gani maarufu mwenye hamasa wa kugombea urais 2025?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025.

Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika 2025-2030. Bado jamii yetu inahitaji wanaume mashuhuri kwenye ngazi za juu kabisa za maamuzi wa katazamwa kama mfano na vijana wa kiume ili kutokuwa na jamii lelemama.
 
Kwa kinachoendelea sasa CCM imetudhalilisha sana wanaume wa Tanganyika kiasi wako radhi hata kuua Watanganyika wenzao ili mwanamke kutoka nchi jirani ya Zanzibar aendelee kuitawala Tanganyika, hasa sisi wa Kanda ya Ziwa inatuuma sana, na huu ndiyo ukweli wenyewe na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Zuberi kashakuchuwa fomu ya ubunge ndio basi tena labda twende na mzee wa ubwabwa tu huku tukisubiri matunda ya No reforms No election
 
Ashauriwe abadilishe mawazo achukue ya Urais
 
Yule nae ndumilakuwili he can't be trusted lakini sawa tu acha chama cha kijani kipuyange tu hivyo labda wakati utafika uliopangwa whether God(for those who believe) or nature will decide
 
Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025.

Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika 2025-2030. Bado jamii yetu inahitaji wanaume mashuhuri kwenye ngazi za juu kabisa za maamuzi wa katazamwa kama mfano na vijana wa kiume ili kutokuwa na jamii lelemama.
Uchaguzi wa mwaka huu hadi sasa ni kama umepoteza mvuto hivi, ila wacha tuone kwa maana bado muda upo so labda kinaweza kutokea kitu.
 
Ila unaongea Pole Pole sana.

Jifunze kuongea kama wanavyoongea wanasiasa wenzio.

Sauti/tone yako haina mamlaka.
Nchi inaongozwa na maono na sio tone ya Sauti
Hakuna mwanasiasa mwenye maono kama yangu sijisifii bali ndo uhalisia
 
Back
Top Bottom