Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
LisuMpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025.
Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika 2025-2030. Bado jamii yetu inahitaji wanaume mashuhuri kwenye ngazi za juu kabisa za maamuzi wa katazamwa kama mfano na vijana wa kiume ili kutokuwa na jamii lelemama.