HagombeiTundu Lisu
Kwa kinachoendelea sasa CCM imetudhalilisha sana wanaume wa Tanganyika kiasi wako radhi hata kuua Watanganyika wenzao ili mwanamke kutoka nchi jirani ya Zanzibar aendelee kuitawala Tanganyika, hasa sisi wa Kanda ya Ziwa inatuuma sana, na huu ndiyo ukweli wenyewe na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025.
Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika 2025-2030. Bado jamii yetu inahitaji wanaume mashuhuri kwenye ngazi za juu kabisa za maamuzi wa katazamwa kama mfano na vijana wa kiume ili kutokuwa na jamii lelemama.
Maono na uwezo huo ninao
Yule nae ndumilakuwili he can't be trusted lakini sawa tu acha chama cha kijani kipuyange tu hivyo labda wakati utafika uliopangwa whether God(for those who believe) or nature will decideAshauriwe abadilishe mawazo achukue ya Urais
Ila unaongea Pole Pole sana.Maono na uwezo huo ninao
hahaha inatakiwa iwe kama ya mwabukusi.Ila unaongea Pole Pole sana.
Jifunze kuongea kama wanavyoongea wanasiasa wenzio.
Sauti/tone yako haina mamlaka.
Ili azindue ile project yake ya black holes sio ππππ
Uchaguzi wa mwaka huu hadi sasa ni kama umepoteza mvuto hivi, ila wacha tuone kwa maana bado muda upo so labda kinaweza kutokea kitu.Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025.
Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika 2025-2030. Bado jamii yetu inahitaji wanaume mashuhuri kwenye ngazi za juu kabisa za maamuzi wa katazamwa kama mfano na vijana wa kiume ili kutokuwa na jamii lelemama.
Nchi inaongozwa na maono na sio tone ya SautiIla unaongea Pole Pole sana.
Jifunze kuongea kama wanavyoongea wanasiasa wenzio.
Sauti/tone yako haina mamlaka.