Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
LisuMpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025.
Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika 2025-2030. Bado jamii yetu inahitaji wanaume mashuhuri kwenye ngazi za juu kabisa za maamuzi wa katazamwa kama mfano na vijana wa kiume ili kutokuwa na jamii lelemama.
Kuna mambo mengi mpaka sahivi nimeyaongelea hiyo blackhole ni tip of the icebergIli azindue ile project yake ya black holes sio 😂😂😂😂
Ooh kumbe... Kila la heri mkuuKuna mambo mengi mpaka sahivi nimeyaongelea hiyo blackhole ni tip of the iceberg
Angalia nyuzi zanguOoh kumbe... Kila la heri mkuu
Namna ya kuyawasilisha ndio changamotoNchi inaongozwa na maono na sio tone ya Sauti
Hakuna mwanasiasa mwenye maono kama yangu sijisifii bali ndo uhalisia
Mambo magumu hùwaga yanachukua mda watu kuyaelewaNamna ya kuyawasilisha ndio changamoto
Mfano ningetumia njia ya criticism mara kumtukana samia, kuwaponda mawaziri wake, kulalamika juu ya uongozi mbovu ningeenda viral sana hata huku jamiiforums ningepata wachangiaji wengi ila wananchi wanahitaji solution na mimi nimejikita kwenye solution na sio kuponda ndo maana watu hawanielewe ila watanielewa baadaeNamna ya kuyawasilisha ndio changamoto
Sawa mkuu... Uwe unanitag pale zinapokua bado za moto motoAngalia nyuzi zangu