Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mwanaume unatembea mtaani na kibka kabisa.
Bukta zenyewe fupi hadi mapaja yanaonekana.
Sidhani utakuwa mwanaume kamili kwa jamii zetu alafu uvae ki bukta kiko juu ya magoti.
shemu nakupendaWavaa vibukta mnaitwa huku
Wapo,Wanaume wa Dar wamejaa tele humu!Ngoja waje wavaa vibukta(kama wapo humu)
Diamond hana mguu wa kuvalia vibukta anavyovizungumzia mwanzisha mada.cc: Diamond Platinumz na wasanii wote wasiojitambua wa bongo fleva.
[emoji1][emoji1][emoji1]Wapo,Wanaume wa Dar wamejaa tele humu!