Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

Usidate na mwanamke anayekuzidi kipatao..na ukidate nae kua mbabe kwake!!
Ukimlegezea lazima stroke ikupate..yaani usimfanye aone kwamba yeye ndio kila kitu maishani mwako
 
Hapana. Ukimpenda mwanamke ingia miguu yote miwili ili uenjoy ladha halisi ya mapenzi kama akizingua kwa kuudharau Upendo wako kwake toka miguu yote miwili chap kwa haraka kama ulivyoingia.

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Mimi nahisi portion inayodeal na hisia za mapenzi kwenye ubongo ishanyofoka. Japo nikimpenda mtu napagawa kweri kweri😩
 
Chukua mwanamke ishi nae akigusia ndoa kimbia
Sir mimi ni Mkatoliki nikiishi na mwanamke bila ndoa ikitokea nimefariki watanitenga nizikwe na manispaa. I don't want that. I want to die as Catholic
 
Sir mimi ni Mkatoliki nikiishi na mwanamke bila ndoa ikitokea nimefariki watanitenga nizikwe na manispaa. I don't want that. I want to die as Catholic
Mkuu kumbe una ujinga wa kidini ?
 
Sir mimi ni Mkatoliki nikiishi na mwanamke bila ndoa ikitokea nimefariki watanitenga nizikwe na manispaa. I don't want that. I want to die as Catholic
Huna ndugu boss kuzikwa na padri au shehe ni ujinga kama ujinga mwingine wale hawakupeleki kokote kama una ndugu wanatosha kabisa kukuhifadhi salama
 
Mkuu kumbe una ujinga wa kidini
Sir ulichoandika si kitu chema as intellectual person, kila mtu anavalue zake na inatakiwa kila mmoja aheshimu value za mwingine. Wewe kutokua na dini hakukufanyi kua bora zaidi kuliko mimi ambaye nina dini. Respect my value!

Everyone need to belong to something.. I'm belong to Catholic, hata wewe umeamua kua belong to Atheism so bado kitu ni kilekile. Kutokua kwako na dini inawezekana bado usinifikie my intelligence level
 
Logic ya mungu kuumba wanawake wengi kuliko wanume ni kwamba kila mwaume apate uwanja mpana wa kuchagua mwanamke amtakae, pia kaumba wanawake wengi ili isije kutokea hata kwa bahati mbaya mwaume kuteseka kisa mapenzi/mwanamke.
 
Huna ndugu boss kuzikwa na padri au shehe ni ujinga kama ujinga mwingine wale hawakupeleki kokote kama una ndugu wanatosha kabisa kukuhifadhi salama
Najua hawanipeleki popote ila ndio nilivyoamua mkuu nikifa Nataka nizikwe na kwa Custom za kikatoliki
 
Hakuna anayepaswa kuteseka awe mwanaume au mwanamke.
 
Hakuna anayepaswa kuteseka awe mwanaume au mwanamke.
But sir tukianagalia idadi ya nyuzi za humu asilimia kubwa ni wanaume huleta mada kua wanaumizwa na wapenzi wao. So the purpose of this thread ni kuwakumbusha kua inatakiwa wawe Alpha Malea
 
But sir tukianagalia idadi ya nyuzi za humu asilimia kubwa ni wanaume huleta mada kua wanaumizwa na wapenzi wao. So the purpose of this thread ni kuwakumbusha kua inatakiwa wawe Alpha Malea
Kuumizwa kwa wanaume 'wengi' kusiwe kisinigizio cha kuhalalalisha ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya wanawake.
 
Kuumizwa kwa wanaume 'wengi' kusiwe kisinigizio cha kuhalalalisha ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya wanawake.
Mkuu wewe ni Feminist??? Maana wanaume mara nyingi ndio hua Feminist kuliko wanawake.
 
Ni. Kwel mkuu just comment tu mkuu, samahan sna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…