Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina maneno laini zaidi ya kusema kupitia ugumu ni sifa muhimu ya kuimarika kwa mwanaumeKuteseka sio sifa. Kama kuna njia raisi itumie
AmenAkili za mijitu yenye rangi nyeusi sijui huwa ina kasoro gani??!! There is nothing noble about suffering.
Hapo ndipo unapokomaa na ukitoka hapo trust me utakuwa makini sanaNipo stage hii. Kila nachogusa kinagomea, Ahsante kwa kunitia moyo.
Mtu hateseki Ili kuwa mtesekaji Bora au kupewa tuzo kama unavyodai ila nilichomaanisha ni kuwa "mateso ni darasa la kumnoa Mwanaume ova.Hakuna tuzo ya mtesekaji bora.
Nani alikuambia matajiri au watoto wa matajiri hawapitii magumu?..infact wanaweza wakawa hawapitii njia unayoiita wewe au mimi ila wana magumu yao pia.GhafrA Nimekumbuka mtoto wa bakhressa...kuteseka sio sifa bwana we
Mkuu tusiutukane hata kama tukikerwa, hii nayo ni changamoto tu ya kutuimarisha. Tujenge hoja kistaarabu tu, ninaamini Kila mtu ana mtazamo sahihi juu ya Dunia yake.Kazi gani nyepesi mwanaume unapiga, labda kufirwwwwa
Hakuna lugha nyepesi ya kukuambia ukweli ulivyo Mkuu.Ukisoma huu Uzi ndipo utagundua Nina kila sababu ya kusema "WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE"
Kuteseka unakutafsiri vipi kwani Mkuu?Mleta mada hakuna sifa yoyote kwenye kuteseka. Kama kuna njia nyepesi ya kufanikiwa bila kuvunja sheria za Mungu na za jamhuri pita nayo fasta. Hata Mungu aliumba binadamu ili astarehe na sio kuteseka. KATAA KUTESEKA. KWEPA KUTESEKA KADIRI UWEZAVYO.
Raia hawataki hii kitu humu.....ah!...ah....!Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.
🤣🤣🤣🤣Sijamalizia kusoma ila ni upuuzi mtupu ulioandika.
Hakuna faraja kwenye maumivu. Hii ni kwa wanaume wote, kama kuna njia mbadala ya kufanikiwa ambayo ni halali na haina mateso ichukue. Hakuna ugangwe kwenye kusurubika.
Suffering is just like training don't hate it,You are romanticizing suffering, ndio maana wanaume wengi wako bitter.
Come on y’all.
Sijamalizia kusoma ila ni upuuzi mtupu ulioandika.
Hakuna faraja kwenye maumivu. Hii ni kwa wanaume wote, kama kuna njia mbadala ya kufanikiwa ambayo ni halali na haina mateso ichukue. Hakuna ugangwe kwenye kusurubika.