Mwanaume halisi sharti asulubike: Mwanaume hujifunza na kuimarika kupitia magumu ila Wanawake ni kinyume chake

Muanzisha uzi ukipata fursa ya kupata mamilioni kwa kukaa ofisini ama kuhustle juani na kupata kima hicho hicho cha pesa, je utachagua kuhaha mitaani ili kudhihirisha uanaume wako?
 
Muanzisha uzi akipata fursa ya kupata mamilioni kwa kukaa ofisini ama kuhustle juani na kupata kima hicho hicho cha pesa, je atachagua kuhaha mitaani ili kudhihirisha uanaume wake?
Kupitia ugumu siyo jambo la kuchagua ila ni njia tunayoipitia
 
Kupitia ugumu siyo jambo la kuchagua ila ni njia tunayoipitia
Kama hakuna njia mbadala ndio utasema ni mapitio ila ukiwa na options huwezi ukasema lazima upitie huo ugumu ili tu kudhihirisha kuwa wewe ni mwanaume.
 
Takataka
 
Sio wote huzaliwa kuteseka mkuu, ulichoandika kinatokea sana kwa wenye maisha magumu.
 
Sijamalizia kusoma ila ni upuuzi mtupu ulioandika.

Hakuna faraja kwenye maumivu. Hii ni kwa wanaume wote, kama kuna njia mbadala ya kufanikiwa ambayo ni halali na haina mateso ichukue. Hakuna ugangwe kwenye kusurubika.
Yesu mwenywe na mitume wake walisulubika....mtoa maada yupo sahihi labda Kama wewe hunawaho kupitia hiyo situation
 
sure
 
Akili za mijitu yenye rangi nyeusi sijui huwa ina kasoro gani??!! There is nothing noble about suffering.
Quite the contrary, .
What is happiñess without suffering?
Is there a north without a south?
Have you ever seen a coin with only head and no tail?
Is there an up without a down?
Is there good without evil?
 
Quite the contrary, .
What is happiñess without suffering?
Is there a north without a south?
Have you ever seen a coin with only head and no tail?
Is there an up without a down?
Is there good without evil?
All those you have mentioned are just the same thing in different polarities.
Mambo ni Yale Yale hakuna mambo mawili
 
Ukiona ina maslahi yasiyo na madhara kisheria wala kimaadili piga pesa ndugu. Yani ubebe zege kwa vile tu umeaminishwa mwanaume kaumbiwa mateso. Bullshit.
Hayo maslahi unayaonavmarahidi yana ugumu wake pia ni suala la mtazamo wa mtu tu ugumu anautafsiri vipi.
 
Suffering is just like training don't hate it,
Just see it on other side of the continuum since everything is duality and the same.
I beg to differ, suffering is not training, is a result of decision, could worng or right or whatever
Training is based series of event, could be good or could be bad
 
Humu watu mnachanganya kuteseka na kupitia magumu au changamoto…Mleta mada kwa upande wangu nimemuelewa kua kupitia changamoto ndo kunamkomaza mwanaume kua mrume ndago….so hata hao akina Mo na Gsm kuna magumu na wao wanayapitia ndo maana wako hapo…ila nyie mnahis magumu ni kuuza maji ya sh 100 juani….Magumu na kuteseka kuko kwa Aina nyiiingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…