Mwanaume Hanithi anayehitaji mke

Mwanaume Hanithi anayehitaji mke

Sijui kwanini mtu akisikia tu jina lake limetajwa lazima atashtuka.
Wapo watakaojikausha wakapita kimya ila wapo pia ambao wataitika japo walengwa hawakua wao. Najua una sifa hiyo ndio maana umekuja kuitika HAPA ila kwa kua hukidhi vigezo vingine ungepita tu kimya.

Wenye vigezo vyote wanajua kua wanatakiwa kuitikia kuleee PM.



Bado sijapata, mnaokuja PM acheni mzaha.
 
hanithi hii ndo ile ninayoijua mimi au nyingine..!!!!
 
Mimi WL na si mtu mwingine.
Nahitaji Mwanaume Hanithi.
Asiwe shoga wala asiwe amewahi kujihusisha na ushoga.
Awe anayejiamini na anaweza kutatua changamoto za kimaisha.
Awe na malengo ya kuoa.
Asiwe mtegemezi/kupe na awe na kipato halali.
Muonekano pia una nafasi yake

Mimi ni mwanamke kamili sina tatizo lolote kuhusiana na uanamke wangu.
Umri wangu 30+
Elimu yangu nimesogeasogea
Namaanisha sipo kufanya dhihaka.

Kama upo humu una sifa hizo na unatafuta njoo PM au unamjua wa sifa hizo mlete
mtumieni pm kigwangara, watu wa aina hii anawatafuta.
 
dunia haiishiwi vituko haya wale wa chumvini uvinza kazi hiyoo
 
Back
Top Bottom