Mwanaume huu ndio mgawanyo wa wanaume kulingana umri waolionao na hulka walizonazo katika mahusiano

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara nyingi zinatoka kwa wazazi sio zao (hawajazitesekea) lakini wanaume waliko mjini kwa 20-27 wengi ni wanafunzi na wanakimbizana na ndoto zao huwa si rahisi kuingia kwenye ndoa. Kwahiyo, ukianzisha naye mahusiano ni vigumu sana kukuoa kwasababu ana kiu na hofu ya MAISHA

Wanaume walioko kijijini mara nyingi hawayatazami maisha nje ya kulima na kuvuna zaidi wao wanatafuta kwa ajili ya muda uliopo si kwa ajili ya hatma zao njema. Kwahiyo dada angu mwanaume akiwa chini ya miaka 28 akiwa mjini ukianzisha mahusiano ni vigumu kuwaza ndoa kwake kwasababu anaona bado

2. WANAUME WA UMRI WA MIAKA 28-31 wengi huwa wameshapevuka na wameanza focus ya maisha anaweza akawa hana mafanikio ila angalau au ameshaona cha kufanya na utoto huwa umepungua zaidi labda awe hana dira yaani awe bado mgalatia au ameamua kuishi maisha ya KIGALATIA tu

Wengi wa 28-31 huwa si wanafunzi tena wamemaliza masomo wanajitafuta mtaani, wamepata pakushika, wanajimudu kwenye mambo yao muhimu na wanawaza kuanzisha mahusiano ya kudumu ili wasogee mbele. Wengi huwa hawajajipata sana ila huhitaji mahusiano yenye focus. Hawa watu huonekana wakorofi sana kwasababu wana uchungu na mafanikio hasa kwa mwanamke anayetaka bata au maisha ya anasa zaidi

3. WANAUME wa umri wa 32-38 wengi ni wanaume waliopitia mengi kupoteza, kuumizwa na kuumiza pia. Hawa huwa na mambo mawili kumpata mwanamke wa rika lake au linaondena na lake hawapendi vidada kwasababu wengi huwa wameumizwa sana na wadada wadangaji. Hawa wao nitafuta mwanamke aliyemaliza ujana kama yeye na anayejielewa na aleyevuka hatua za UGALATIA.

4. WANAUME wenye miaka 40 na kuendelea hawa wao hutafuta mwanamke anayeweza kumheshimisha kuwa ana ndoa au familia baada ya kupigiwa kelele kwa nini haoi, kuchezea ujana sana, watoto aliozaa nje akitaka apate mtu wa kuwalea awakusanye.

Hapa kuna makundi mengi kama ifuatavyo

A. Waliochelewa kuoa kwasababu ya utafutaji usiokoma au kusoma sana mpaka muda wa kuwa na familia ukataka kuwapa kisogo watu hawa wengi huwa wana changamoto zao kwasababu hawana uzoefu wa mahusiano wao hutaka mahusiano ya haraka sana na kuoana na kuzaa haraka kukimbiza na umri. Mwanamke akichelewa kumzalia huhaha sana na anaweza kuzaa nje ni mhitaji wa mtoto sana

B. Kundi jingine ni wale wanaokimbia ndoa zao baada ya kuvumilia sana wakaiachilia ili waoe waishi kwa amani baada ya kunyanyasika sana kwenye ndoa au mahusiano hayo ya awali huwa walishakuwa kwenye ndoa wakazikimbia

C. Kundi jingine ni wale wanaotaka kuongeza wake kwa matakwa yao baada ya kuona wamejipata kwenye maisha ya kuona wanahitaji kwasababu wamepata uzoefu wa ndoa nk. Kwahiyo huanzisha mahusiano na ndoa ya pili au zaidi kuringana na uhitaji wao

D. Kundi jingine ni wale waliofeli maisha wanatafuta kuelelewa wanatelekeza ndoa au mahusiano yao ya awali ili wakuelewe.

E. Wagane hili ni kundi linalohitaji mwanamke kwa ajili ya kumalizia uzee wao na kuondoa upweke yaani mwanaume akielekea uzeeni uhitaji wa mke unakuwa mkubwa sana ndio maana anaweza akaoa uzeeni ili apate faraja

WANAUME wa umri huu hutafuta single mother, vibinti vidogo wanavyoweza kuvilea muhimu viwazalie watoto hasa ambao wanatoka kwenye familia duni au wanawake wanaohitaji ndoa ambao hawachaguo mume

DADA ANGU HAYA NI MACHACHE USIYOYAJUA KWENYE UMRI WA WANAUME.
 
Ukweli mtupu. Ila mengi ulioandika inabaki kuwa hadithi za kweli ila not applied in real life sababu Mapenzi ya siku hizi hayana formular
 
Nadharia tu
 
Back
Top Bottom