Mwanaume huyu anaelekea kunishinda kwa ulevi wake

Sina njaa kwa taarifa yako...
 
Mimi nimemuelewa mleta mada anataka mwanaume asiyekunywa pombe, mwenye upendo lakini pia anayejiweza 6 kwa 6.

Hili ni tangazo sema limekua twisted. Mfuatilie vizuri
hapana sipo kwenye matangazo ya utafutaji
 
Sina njaa kwa taarifa yako...
Kama huna njaa,kipindi alivyokuaproach hukujua n mlevi?hukujua n mdau wa jani dada,?je mlvyosex mara ya kwanza hukujua hana uwezo wa kuhimili tendo??chonde chonde dada,subiri tumalize msiba wa mwenzio kwanza.
 
Trust me sina njaa, na nilimpenda ila sasa ganja na pombe ndo kitu sipendi sana, na ganja yake si local, kwa hiyo ata kuhisikia si rahisi
 
Mimi nimemuelewa mleta mada anataka mwanaume asiyekunywa pombe, mwenye upendo lakini pia anayejiweza 6 kwa 6.

Hili ni tangazo sema limekua twisted. Mfuatilie vizuri
Hahahaaa kumbe. Ngoja nichangamkie fursa PM fasta
 
Lakini ukweli ni kwamba hakuna mwanaume au mwanamke aliyekamkamilifu, tena naona mapungufu ya huyo wako ni madogo mnaweza kuongea na na ukamvumilia akajirekebisha
 
Kwani kipindi mnaanza mausiano ulikuwa bado ujajua kama jamaa anavuta ganja na kunywa pombe?
 
Mwanaume Mlevi kupindukia[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
 
Anamiliki bastola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…