Twende moja kwa moja kwenye hoja.
Mimi ni mama wa mtoto 1, nimebahatika kukutana na mbaba ambaye yeye amedivorce na mke wake. Ila kadri navyozidi kuwa naye ndivyo kadri navyoshindwa kuendelea naye na hata mke wake kuachana naye ni sawa nipo naye karibia mwaka sasa.
Ni mbaba mwenye upendo wa kweli nauona ila changamoto ni mwanaume anayekunywa sana pombe na kampani yake ni wanywaji, pia ni anavuta bangi, ila kitandani hamna kitu, kuliko niendelee kusema nampenda bora nikae kando yasije yakanikuta kama ya mdogo wangu wa Mwanza. Kibaya sisi wengine hatuwezi kuchanganya kondoo wawili kwa wakati mmoja.
Usiombe akavuta bangi na mkaenda sita kwa sita utadhani anatwanga kisamvu kwenye kinu haha
Hivi nyie wenzangu wenye wapenzi wa dizaini hii mna uvumilivu gani mnautumia kuendelea kuwa katika mapenzi?