Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
🤣 🤣 🤣 🤣 hii Dunia ina mambo mengi sana.Kuwa muwazi bc dada tujue tunakusaidiaje,shida n ukojozwe au aache bange au aache pombe?alaf tuambie mwaka mzima unategemea ataacha bangi au unategemea itafika siku atakukojoza?ile siku mmeunganisha vikojoleo kwa mara ya kwanza ulipaswa kuanza maandalizi ya kumkimbia,lkn njaa zako ndio zmekueka hapo hadi leo,alaf mkimaliza miaka mitatu ukileta fyoko ukitandikwa risasi ya matako tuanze kumlalamikia mchaga???
si umuelekeze unavyotaka bibieTwende moja kwa moja kwenye hoja.
Mimi ni mama wa mtoto 1, nimebahatika kukutana na mbaba ambaye yeye amedivorce na mke wake. Ila kadri navyozidi kuwa naye ndivyo kadri navyoshindwa kuendelea naye na hata mke wake kuachana naye ni sawa nipo naye karibia mwaka sasa.
Ni mbaba mwenye upendo wa kweli nauona ila changamoto ni mwanaume anayekunywa sana pombe na kampani yake ni wanywaji, pia ni anavuta bangi, ila kitandani hamna kitu, kuliko niendelee kusema nampenda bora nikae kando yasije yakanikuta kama ya mdogo wangu wa Mwanza. Kibaya sisi wengine hatuwezi kuchanganya kondoo wawili kwa wakati mmoja.
Usiombe akavuta bangi na mkaenda sita kwa sita utadhani anatwanga kisamvu kwenye kinu haha
Hivi nyie wenzangu wenye wapenzi wa dizaini hii mna uvumilivu gani mnautumia kuendelea kuwa katika mapenzi?
Usiombe akavuta bangi na mkaenda sita kwa sita utadhani anatwanga kisamvu kwenye kinu haha[emoji23]Twende moja kwa moja kwenye hoja.
Mimi ni mama wa mtoto 1, nimebahatika kukutana na mbaba ambaye yeye amedivorce na mke wake. Ila kadri navyozidi kuwa naye ndivyo kadri navyoshindwa kuendelea naye na hata mke wake kuachana naye ni sawa nipo naye karibia mwaka sasa.
Ni mbaba mwenye upendo wa kweli nauona ila changamoto ni mwanaume anayekunywa sana pombe na kampani yake ni wanywaji, pia ni anavuta bangi, ila kitandani hamna kitu, kuliko niendelee kusema nampenda bora nikae kando yasije yakanikuta kama ya mdogo wangu wa Mwanza. Kibaya sisi wengine hatuwezi kuchanganya kondoo wawili kwa wakati mmoja.
Usiombe akavuta bangi na mkaenda sita kwa sita utadhani anatwanga kisamvu kwenye kinu haha
Hivi nyie wenzangu wenye wapenzi wa dizaini hii mna uvumilivu gani mnautumia kuendelea kuwa katika mapenzi?
Tatzo lenu wasimbe hua mnakurupuka sana,matokeo yenu mnakuja kujuta baadae,Trust me sina njaa, na nilimpenda ila sasa ganja na pombe ndo kitu sipendi sana, na ganja yake si local, kwa hiyo ata kuhisikia si rahisi
Wanakera mkuu,[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hii Dunia ina mambo mengi sana.
Zamu yenu kufukuza wenzaNi mbaba mwenye upendo wa kweli nauona ila changamoto ni mwanaume anayekunywa sana pombe na kampani yake ni wanywaji, pia ni anavuta bangi, ila kitandani hamna kitu, kuliko niendelee kusema nampenda bora nikae kando yasije yakanikuta kama ya mdogo wangu wa Mwanza. Kibaya sisi wengine hatuwezi kuchanganya kondoo wawili kwa wakati mmoja.