Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nmekuja kupata mbinu za kumla mama swaleheUmefata nn huku..?__katafute hela nikuweke madirisha yavioo huku hapakuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekuja kupata mbinu za kumla mama swaleheUmefata nn huku..?__katafute hela nikuweke madirisha yavioo huku hapakuhusu
Unamuaibisha Yesu 😁MWISHO KABSA, USISAHAU PIA KUBEBA MAFUTA ILI KUPUNGUZA MSUGUANO KWENYE MTARO WAKO
Ujumbe umeeleweka vizuri?😂😂😂😂😂Sawa bro tumekuelewa
Sasa kuna watu hao ndo watu waoAina ya wanawake wa kuepuka maishani mwako:-
1. Mwanafunzi
2. Mke wa mtu
Kama wewe Malaya, Kuna wanawake wengi sana mtaani mpaka baani.
Kuamua kuingia kwenye mahusiano na mke wa mtu ni dharau na kumkosea heshima Mwanaume mwenzako. Zaidi matokeo yake huwa mabaya sana.
Mwanafunzi ni mtoto au mdogo wako, mara nyingi wao hawajali maana maisha halisi hawayajui. Ni wewe unayepaswa kujizuia na kuwaepuka.
😆😆😆😆😆 Iko jinga thana weweNgoja waume za watu watoke kanisani, wabadili mashati yao ya vitenge kisha wakurudie...... Utakoma!!
Ingekuwa hadithi usingeleta zile mbinu lukuki, kiufupi unaogopa kugongewa yaiHadithi za abu-nuwas
Usisahau kuwashauri wabebe na futa la kutosha ili wakifumaniwa mambo yawe rahisi.Shaloom shaloom shaloom
HAPA NINA CODE CHACHE SANA
KAMA HUKWENDAGA QUBA BAS SOMA HII ITAKUSAIDIA
Kutembea na mke wamtu
_tafuta namba mpya tofauti nayakwako (namba mama) mkiwa mnawasiliana
_usimtumie sms maisha yako yote (zingatia sana hii)
_hata kama huna mke ila mwambie naww upo kwenye ndoa au mahusiano imara sana
_usisubutu kwenda kwake hata akuambiaje (usiende usiende usiende )
_mkikubaliana mkutane sehemu fulani akifika tu chukua boda muende sehemu ingine (usimwambie mnakoenda )
_hakikisha mkiwa pamoja simu yake unayo ww au kama anayo yeye asiwe anachat chat (utakuja kukamatwa kama kuku)
_pambana umjue mumewe hata kwapicha (mjue adui yako ili ujue unamkwepa vipi)
_hakikisha kama una mke -huyo mke wamtu asiijue namba yamkeo (kuna siku atampigia mkeo ) hii hata mchepuko wako asijue namba yamkeo kuna siku watapigiana simu ww ukiwa kazini
_usizoee kwenda nae sehemu moja kila siku (utakuja kulia huku unasaga meno)
_hakikisha hamtumii usafiri wa-umma (daladala usipande nae hata kwafimbo) _kuna siku mtapanda na shemeji wa mke au mme wake bila nyie kujua
_mkiwa mnatoka gest hakikisha ww ndo wakwanza kutoka (akianza kutoka yeye anaweza rudi nawatu ndani kuwa makini)
_usipige pige simu kila muda hata kama akikwambia mumuwe hayupo (viumbe hatari sana hawa)
USIMWAMBIE MADHAIFU YAMKEO HATA KAMA MKEO ANAYOKWELI
___KAA UKIJUA UKILA VYAWATU NAWW WAKO ATALIWA ..!
NAWASILISHA
Umeacha na hizi hapa:-Shaloom shaloom shaloom