Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Wengine wanaona ufahari kurudi wakiwa wamelewa 😄Ukiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
Ujumbe umefikaWaambie wakishindwa kupita sokoni wanunue hata mkate.
Mume wa aina hiyo hasara kwa mke wakeWengine wanaona ufahari kurudi wakiwa wamelewa 😄
Ipo ukarasa wa 10Hivi na hii kwenye Ilani ya chama ipo
Ipo ukaraHivi na hii kwenye Ilani ya chama ipo
Basi tutaokota hata kuni
Zitamsaidia mkeo kupika chakulaBasi tutaokota hata kuni
Eeh.Ipo ukara
Zitamsaidia mkeo kupika chakula
Heshima au upendo havitakiwi kujengwa kwa vitu, heshima inatakiwa kujengwa na utashi.Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
Wewe umepata wa kukusemea na nyinyi mkienda saloon kubandilisha mawigi na kucha mnarudi na nini nyumbani?Wambie hao
Yote sawa. Ila ukirudi na furushi inaongeza msisimkoVipi nikiacha/nikitoa hela wakanunue wao wenyewe.
Jukumu la kwenda sokoni ni la mke. Acha kuingilia majukumu ya mkeo. Mpe hela ataamua akanunue nini kama mama house. Mambo yanayohusu jikoni usiingilie kabisa.... Usijifanye romantic kupitiliza.. utaharibu.Ukiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.