Mwanaume kabisa unatenga muda wa kumsikiliza Rose shaboka serious?

Mwanaume kabisa unatenga muda wa kumsikiliza Rose shaboka serious?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mmmmh. Ni Nani huko DAR er salaam. Sjawahi msikia. Embu toa ufafanuzi na usindikize na kapicha
 
Ni nani huyo Shaboka? Ungeweka na picha yake sisi wazee tukamuona
 
Mwanaume kabisa umetenga mda wako kumpangia mwanaume mwenzako watu wa kuwasikiliza serous?
 
Kumbe mchungaji, wewe unavyo msikiliza sista akisoma somo la kwanza na kukomnisha kwa nn usikatae ??

Rose mwendo ni ule ule hakuna kufulia mtu boxer 😂
 
Wa nini wakati alisema yeye hana muda wa kufua boksa ya mtu.
 
Back
Top Bottom