Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Je vipi kwenye suala la utilivu? Wametuliaa?Fall in love? Tell me ur joking please.
Ila all in all wamakonde wazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je vipi kwenye suala la utilivu? Wametuliaa?Fall in love? Tell me ur joking please.
Ila all in all wamakonde wazuri
Ni Wazuri mnooo na hawana mambo mengi hapo wana vizuri na maneno ya hovyo kuna mshikaji kitaa ana mke kaoa kabisa. Wavumilivu sana nakumbuka mshikaji siku mbili anasema walikuwa wanakunywa uji tu hela alikuwa hana na huyo binti hakuwa hata na shidaFall in love? Tell me ur joking please.
Ila all in all wamakonde wazuri
Mhubiri 7:20Mzinzi ft God ?
Dharau hizi.
Songea wanawake wa Kule ni Malaya mnooo, halafu ni karibu na machimbo ya madini wanaliwa sana.Ukimwi upo vijana...yaani nikisikia songea naona unakaribiana na njombe..unaweza vuruga mikoa mingine vyovyote utakavyo lakini huo ukanda nenda na breki...
Usisahau pitia namanyere hutajutiaMajuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea?
Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta.
Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi kumechangamka zaidi kuliko Newala na kuna wamakonde wa kutosha tu .
Nijuavyo mimi Masasi ni kwa wamakua but nevertheless I will go there too kwa sababu kutoka hapa Newala hadi Masasi ni lisaa limoja tu.
Nilikuja na Mahuta Express nikaingia juzi hiyo mchana.
Jana nikabahatika kukutana na mtoto wa kimakonde.
Sitaki kukwambia kitu gani kilitokea.
Mwaka 90 kuna msukuma mmoja alikuja Dar akanywa soda kwa mara ya kwanza alipomaliza kunywa soda akamwambia shemeji yake ( mume wa dada ake ) " shemeji naomba mbegu ya hizi soda nikapande kijijini shinyanga"
So do I declare that kama wa dada wa kimakonde wangekuwa na mbegu basi ningewapanda Shamba zima shambani kwangu kule Homboza...
Itoshe kusema kwamba wa dada wa kimakonde nyinyi ni hatari.
Mungu awabariki sana.
# halafu wa dada wa kimakonde hawanaga alama za weusi katikati ya mapaja " dark underthighs" wala michirizi kwenye mapaja.
Ni Wazuri mnooo na hawana mambo mengi hapo wana vizuri na maneno ya hovyo kuna mshikaji kitaa ana mke kaoa kabisa. Wavumilivu sana nakumbuka mshikaji siku mbili anasema walikuwa wanakunywa uji tu hela alikuwa hana na huyo binti hakuwa hata na shida
Wewe ni muongoItoshe kusema wamakonde ni noma
Mkuu huku ulikoniita ni wapi tena ?
Lakini vipi kuhusu kigezo Bora Cha nyongeza mkuu?u know Tako broo Wana takoo?Kaka kama unaweza wewe anza safari hata leo usiku wa manane.