Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

Fall in love? Tell me ur joking please.

Ila all in all wamakonde wazuri
Ni Wazuri mnooo na hawana mambo mengi hapo wana vizuri na maneno ya hovyo kuna mshikaji kitaa ana mke kaoa kabisa. Wavumilivu sana nakumbuka mshikaji siku mbili anasema walikuwa wanakunywa uji tu hela alikuwa hana na huyo binti hakuwa hata na shida
 
Mkuu wengine tunachukua notes,ila nauliza Je?sample Moja TU inatosha kuamini madem wote wapo hivyo?maana umenishawishi nzame ntwara.

Kaka kama unaweza wewe anza safari hata leo usiku wa manane.
 
Usisahau pitia namanyere hutajutia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni Wazuri mnooo na hawana mambo mengi hapo wana vizuri na maneno ya hovyo kuna mshikaji kitaa ana mke kaoa kabisa. Wavumilivu sana nakumbuka mshikaji siku mbili anasema walikuwa wanakunywa uji tu hela alikuwa hana na huyo binti hakuwa hata na shida

wanawake wa kimakonde wapo vizuri hilo halina upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…