Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

Vp package wanazotoa ni tofauti na wanazotoa wale wa mbagala?
Wa mbagala bado watoto wadogo sana.

Kulinganisha wamakonde wa Newala na wa mbagala kwenye mambo yetu yale ni sawa na kulinganisha urefu wa suruali na chupi.
 
Je vipi kwenye suala la utilivu? Wametuliaa?
Kuhusu suala la utulivu I can not guarantee hilo kaka . ( kwa sauti ya Magufuli) 👇Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu
 
Unapodhani ndoa nzuri ni kupata bibi mwenye umbo na sura nzuri, na ambaye ni fundi wa mapenzi, basi andika utavuna ulichopanda. Au unazungumzia ''hit and run''?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…