Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

Itoshe kusema wamakonde ni noma
LIKUD umempata Zamda nini🤣.
Makonga,Nameleche,Kiduni na ujenzi hapo enzi za Camel oil ya bawazir nimekaa kaa sana pande hizo, umefungwa ngata nini mzee?

Ila wamakuwa na rangi za mabinti hapo masasi pia si haba sema ukanda wa kusini mpaka mangaka huko kwenda mtamba swala wote ni mafundi mzee na ndugu zao wayao,ngoni.

Tanzania ni kubwa na ina makabila mengi na kila kabila na ufundi wake endelea kutembea ujifunze mambo mengi.
 
LIKUD Ina maana tangu naijua hii id ulikuwa bado upo single au mimi ndio sijakuelewa? Au ulienda kufanya utalii wa ndani ili kujifunza aina ya ladha za makabila. Sasa shemeji utakuwa umemwanga vp?
 
Nenda masasi ukapewe style za Chibaskeli na Chipikipiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…