Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Yaani sio nawadharau ila niukweli.

Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao.

Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu.

Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu pale nilazima apewe tu kitu fulani ila mumewe akimuuliza kati yangu na huyo lofa unamtaka nani kwa maisha haya magumu atasema wewe.

Akifikiria matunzo na starehe basi anaambia asikuone tena.

Kila siku utaanza upya kutafuta demu na hawadumu kisa wewe ni mgegedo tu huna cha ziada.

POLENII ILA HELA LAZIMA UWE NAYO ILI UPATE CHA KUMTUNZIA KITU KIZURI CHA HITAJI MATUNZO PENDA MSIPENDE.

20210512_105901.jpg

Yaani sio nawadharau ila niukweli.
Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao .
Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu.
Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu pale nilazima apewe tu kitu fulani ila mumewe akimuuliza kati yangu na huyo lofa unamtaka nani kwa maisha haya magumu atasema wewe .
Akifikiria matunzo na starehe basi anaambia asikuone tena .
Kila siku utaanza upya kutafuta demu na hawadumu kisa wewe ni mgegedo tu huna cha ziada.
POLENII ILA HELA LAZIMA UWE NAYO ILI UPATE CHA KUMTUNZIA KITU KIZURI CHA HITAJI MATUNZO
PENDA MSIPENDE
Naomba niseme ukweli, mimi sina hela na kama una buku nirushie
 
Yaani sio nawadharau ila niukweli.
Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao .
Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu.
Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu pale nilazima apewe tu kitu fulani ila mumewe akimuuliza kati yangu na huyo lofa unamtaka nani kwa maisha haya magumu atasema wewe .
Akifikiria matunzo na starehe basi anaambia asikuone tena .
Kila siku utaanza upya kutafuta demu na hawadumu kisa wewe ni mgegedo tu huna cha ziada.
POLENII ILA HELA LAZIMA UWE NAYO ILI UPATE CHA KUMTUNZIA KITU KIZURI CHA HITAJI MATUNZO
PENDA MSIPENDE
Wanawake malaya utawasahu kwa tread zao za kimalaya.
 
"Hela".. Neno hela ni vague. Ungejaribu ku-quantify ili tujipime. Kuna mwanaume anatake home ya 3.5m.. but kila ifikapo tar 15 hana kitu.
Kuna mwanaume mwingine ana 1.0m ambayo inampeleka hadi mwisho wa mwezi.

Kuna mwanaume mfanyabiashara ambaye faida yake ni 5m kwa mwezi but hana akiba kwa account but kuna mwanaume mwingine anaweka akiba laki 2 kila mwezi licha ya kuwa na faida ya sh laki 6 kwa mwezi.

Ebu dadavua kidogo mrembo.

Huwa naamini kila hoja ina mashiko, inategemea aliyeileta ameipresent vipi.
 
Unamawazo mepesi sana..Labda ni umri wako..

Wewe pesa za wanaume unazitakia nini au ndio nyinyi makupe zero brain, awamu hii mtaandika ata matangazo barabarani hakuna mwenye muda wakupoteza na vilaza wanaotaka maisha ya shortcut..
Kumbe mnajijua dah hadi raha .
 
"Hela".. Neno hela ni vague. Ungejaribu ku-quantify ili tujipime. Kuna mwanaume anatake home ya 3.5m.. but kila ifikapo tar 15 hana kitu.
Kuna mwanaume mwingine ana 1.0m ambayo inampeleka hadi mwisho wa mwezi.

Kuna mwanaume mfanyabiashara ambaye faida yake ni 5m kwa mwezi but hana akiba kwa account but kuna mwanaume mwingine anaweka akiba laki 2 kila mwezi licha ya kuwa na faida ya sh laki 6 kwa mwezi.

Ebu dadavua kidogo mrembo.

Huwa naamini kila hoja ina mashiko, inategemea aliyeileta ameipresent vipi.
Nicee unajua mahesabu sana na mpangilo wa maisha
 
Back
Top Bottom