Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

wanawake wa bongo wavivuu tu. ndo mana hata wanaume wa bongo wenye maendeleo wanakimbilia wanawake wa nje ya nchi jirani. mf Ay,diamon,benpaul nk kwa mujibu wa hela kwako hawa wanaweza kukutunza ila wameona nyie ni wavivu vichwa maji hamuwazi maendeleo mnawaza kuvua chupi tuu ndo mle basi mtasubiribsana. angalia wa tz wengi wenye classic life ukichungulia uhaliasia wa wake zao lazma umechanganya na nje. wanawake wa bongo ni mbuzi wenye kamba fupi
Kwa iyo mama'ko naye mbuzi siyo?
 
Yaani sio nawadharau ila niukweli.
Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao .
Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu.
Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu pale nilazima apewe tu kitu fulani ila mumewe akimuuliza kati yangu na huyo lofa unamtaka nani kwa maisha haya magumu atasema wewe .
Akifikiria matunzo na starehe basi anaambia asikuone tena .
Kila siku utaanza upya kutafuta demu na hawadumu kisa wewe ni mgegedo tu huna cha ziada.
POLENII ILA HELA LAZIMA UWE NAYO ILI UPATE CHA KUMTUNZIA KITU KIZURI CHA HITAJI MATUNZO
PENDA MSIPENDE
Hivi kuwa na hela ni kuwa na sh ngap?
 
Back
Top Bottom