Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kuna wakati mnatakiwa muache ujinga... UTAULIZIAJE VIWANDA KWENYE FORUM YA MAPENZI? Nenda forum ya sayansi na teknolojia au kwingine kunakofanana na hayo unayoyasema...Hivi ndo vile viwanda tuliahidiwa
By the way, unafahamu kwa nini kuna majukwaa mengi yanayojadili mambo mbalimbali?