Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

Umepanic.. kunywa maji kwanza alaf upate hata acetaminophen, then urudi nikuelezee jinsi ulivyoandika pumba
Utajiju sina muda nawewe kwanza namuda na mambo yangu niumize kichwa kwa wewe nope.
 
Utajiju sina muda nawewe kwanza namuda na mambo yangu niumize kichwa kwa wewe nope.
Utajiju ndo nini? namuda ndo nini? Jitahidi pia unavyoandika acha nafasi kati ya neno na neno..

Kumbe tatizo kichwani hakuna shule, na ndo maana unaandika pumba
 
Yaani sio nawadharau ila niukweli.

Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao .

Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu.

Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu pale nilazima apewe tu kitu fulani ila mumewe akimuuliza kati yangu na huyo lofa unamtaka nani kwa maisha haya magumu atasema wewe.

Akifikiria matunzo na starehe basi anaambia asikuone tena .

Kila siku utaanza upya kutafuta demu na hawadumu kisa wewe ni mgegedo tu huna cha ziada.

POLENII ILA HELA LAZIMA UWE NAYO ILI UPATE CHA KUMTUNZIA KITU KIZURI CHA HITAJI MATUNZO PENDA MSIPENDE
UMELOGWA WEWE SIO BURE
 
Utajiju ndo nini? namuda ndo nini? Jitahidi pia unavyoandika acha nafasi kati ya neno na neno..

Kumbe tatizo kichwani hakuna shule, na ndo maana unaandika pumba
Wewe huna hela umefulia unechoka kananilii kako kamesinyaa kanaangaliana kwa uzuni.
 
Wewe huna hela umefulia unechoka kananilii kako kamesinyaa kanaangaliana kwa uzuni.
Jione hata unavyowaza na unayoyazungumza, mkizalishwa mkiachwa mnaanza kulaumu. Bila shaka wewe ni single mother.

Huna maadili kabisa, na hata kumpata mwanaume wa kukupa hela kwa wewe itakuwa ngumu sana. No wonder una miaka Saba huna mwanaume, hakuna mwanaume mwenye akili timamu akawa na mwanamke kama wewe.
 
Huna akili ndio maana najitambua sijaona nikiona nitajiachia huwezi kujiachia tu kwa mafala kama nyie niishilie najutia
 
Hujui mapenzi kabisa unachojua wewe ni tamaa tu.
Narudia tena hujui mapenzi.
Am sorry for you woman.
 
Itakua unafanya biashara wewe....Tafuta hela kwa njia halali binti ili usimpe stress huyo jamaa yako....
 
Back
Top Bottom