Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kuna wakati mnatakiwa muache ujinga... UTAULIZIAJE VIWANDA KWENYE FORUM YA MAPENZI? Nenda forum ya sayansi na teknolojia au kwingine kunakofanana na hayo unayoyasema...Hivi ndo vile viwanda tuliahidiwa
Inawezekana siyo malaya ila kwa tabia alizonazo mbeleni atakuwa malaya.@katoto kazuri sio malaya.. Tafadhali mkuu kuwa mstaarabu kwa binti
Wao thibitishaTena nina bikra zote ya mbele na ya nyuma upooo?
Dah nafuu wewe sio malayaInawezekana siyo malaya ila kwa tabia alizonazo mbeleni atakuwa malaya.
Umejuaje mkuu au umeshayapitia hayo mambo?Inawezekana siyo malaya ila kwa tabia alizonazo mbeleni atakuwa malaya.
MmmhWao thibitisha
Mwanamke anayedhamin pesa kwenye mapenzi siku zote ni malayaUmejuaje mkuu au umeshayapitia hayo mambo?
Mkuu kavute tenaKuna wakati mnatakiwa muache ujinga... UTAULIZIAJE VIWANDA KWENYE FORUM YA MAPENZI? Nenda forum ya sayansi na teknolojia au kwingine kunakofanana na hayo unayoyasema...
By the way, unafahamu kwa nini kuna majukwaa mengi yanayojadili mambo mbalimbali?
Kanichanganyie tena kiongoziMkuu kavute tena
Wanawake ni wengi sanaa, wanaume tuko wachache sana hasa sisi marijali. Maana na wengine wamekuwa mashoga. Kwahiyo wanawake kuweni makini sisi ni dhahabu ukipendwa na mwanaume rijali kaa tulia mtafute pesaYaani sio nawadharau ila niukweli.
Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao .
Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu.
Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu pale nilazima apewe tu kitu fulani ila mumewe akimuuliza kati yangu na huyo lofa unamtaka nani kwa maisha haya magumu atasema wewe .
Akifikiria matunzo na starehe basi anaambia asikuone tena .
Kila siku utaanza upya kutafuta demu na hawadumu kisa wewe ni mgegedo tu huna cha ziada.
POLENII ILA HELA LAZIMA UWE NAYO ILI UPATE CHA KUMTUNZIA KITU KIZURI CHA HITAJI MATUNZO
PENDA MSIPENDE
Je nyie wanaume wakibongo wavivu wanakimbia wa dada wa bongo kisa wanaenda kutunzwa huko nje hao ulio wataja wote ni mamarioo on harmonize na sara diamond na mademu zake tokea wema anatunzwa tu.wanawake wa bongo wavivuu tu. ndo mana hata wanaume wa bongo wenye maendeleo wanakimbilia wanawake wa nje ya nchi jirani. mf Ay,diamon,benpaul nk kwa mujibu wa hela kwako hawa wanaweza kukutunza ila wameona nyie ni wavivu vichwa maji hamuwazi maendeleo mnawaza kuvua chupi tuu ndo mle basi mtasubiribsana. angalia wa tz wengi wenye classic life ukichungulia uhaliasia wa wake zao lazma umechanganya na nje. wanawake wa bongo ni mbuzi wenye kamba fupi
MwambieUmejuaje mkuu au umeshayapitia hayo mambo?
Swali gumu hilo..Unaweza?
UlishindwaSwali gumu hilo..
Vyenu ni vyetu.ha ha ha ha mi huwa nauliza ke,zaidi ya sex ni kitu gani unaweza nisaidia;tatizo ke mnapenda sana vya kupewa tafuteni vya kwenu.
Nishindwe wapi tena...Ulishindwa
ha ha ha ha unyonyaji huoVyenu ni vyetu.
Dud yako ni zee huwezi kunimuduNishindwe wapi tena...