Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wakuu kwa heshima ya dhati kabisa poleni na majukumu na mahangaiko ya leo.
Kuhusu msiba huo sio wa Watanganyika bali ni msiba wa wanaccm na Police wao sisi hautuhusu na haujatusitua kwa lolote.
Mwanaume katika kipindi hiki ni vyema na haki ukamlea mtoto wako kiume japo nusu au hata robo ya malezi uliyolelewa wewe(kiume)
Mwanaume ni lazima alelewe katika hali ya ujasiri 100%
Hiko ni kitu muhimu sana katika malezi yake hii ni tofauti na mwanamke. Ukiweza pandikiza ujasiri kwenye moyo wake roho ya ujasiri imuingie kwa namna yoyote Ile.
Kumbuka huyu ni baba wa kesho wa wajukuu wako je iwapo wewe ukilegeza katika malezi yeye watoto wake unadhani atawalea katika malezi gani? Mdebwedo family?
Zingatia ujasiri ndo mafanikio ya kila kitu! Kitendo tu cha kusema naanzisha mradi flani huo ni ujasiri tiyari na vitu vingine kama hivo.
Leo hii kuna watoto miaka 10-20 hajawahi kuchinja hata kuku au mbuzi ni ajabu kweli unaweza kuchukulia haina umuhimu lakini je
Mtu kama huyu akiingia hata nyoka ndani mwake unadhani atakuwa na ujasiri wa kupambana nae?
Nina ushahidi mahali fulani kuna mjusi alinasa kwenye net ya jamaa fln hadi aliomba msadaa kwangu na chumba akahama akalala sebreni watoto wake wakiona na mke wake akiona yaani hata godoro nilihamisha mwenyewe jamaa anachungulia tu hakuishia hapo hadi suruali zake akaniambia nizitoe Imagine!!
Mwanaume alelewe katika hali ya upambanaji kwa 100% afundishwe maisha sio kusoma mtengeneze na plan B,C....& F!
Kwanini ? Nikuulize wewe mwanaume mzee wako kipindi anakulea kuna vitu alihakikisha umefaulu vizuri.
Mfano alikufundisha kufuga na kulima na pengine alikufundisha biashara au uselemara mzee wako hakuwa mjinga alijua haya.
Leo hii mtoto anasoma la kwanza hadi chuo kikuu hata tuta la kusia mchicha hajui kutengeneza.
Imagine huyu kijana awe baba wa familia na bahati mbaya akoswe ajira au hata mtaji unadhani ataishije?
Yaani hakuna kitu anajua zaidi ya kuchati mitandaoni nakuambia hili ni bomu.
Kwa sasa wamefunga tumia hii likizo kuwapeleka kwa babu yao kawatupe huko wiki3 ukisisitiza walime na kuchunga wafanye usafi wa banda na zizi!
Wakate nyasi za ng'ombe wafundishwe kukamua maziwa.
Mabinti wafundishqe kupikia kuni asee. Imagine kuna familia huko daslamu hata nafasi ya kufagia kiwanja haipo nyumba yote imewekwa zege hata unyasi hauoti.
Braza zingatia sana haya machache hata nikiongea na kuandika mambo mengi namna gani bado ukweli utabaki palepale kuwa mwanaume alelewe kwa wivu mkubwa mno.
Ukilegeza umeua kizazi chako chote mwenyewe.
Humo utakuna na akina Davy mvaa shanga Dula uno feni.
Ni hayo tu
NB: Picha haina uhusiano wowote ule uzi huu.