Mke wako ataolewa tu ukishakufa ... wewe ni nani? Who are you?Wakuu kwa heshima ya dhati kabisa poleni na majukumu na mahangaiko ya leo.
Kuhusu msiba huo sio wa Watanganyika bali ni msiba wa wanaccm na Police wao sisi hautuhusu na haujatusitua kwa lolote.
Mwanaume katika kipindi hiki ni vyema na haki ukamlea mtoto wako kiume japo nusu au hata robo ya malezi uliyolelewa wewe(kiume)
Mwanaume ni lazima alelewe katika hali ya ujasiri 100%
Hiko ni kitu muhimu sana katika malezi yake hii ni tofauti na mwanamke. Ukiweza pandikiza ujasiri kwenye moyo wake roho ya ujasiri imuingie kwa namna yoyote Ile.
Kumbuka huyu ni baba wa kesho wa wajukuu wako je iwapo wewe ukilegeza katika malezi yeye watoto wake unadhani atawalea katika malezi gani? Mdebwedo family?
Zingatia ujasiri ndo mafanikio ya kila kitu! Kitendo tu cha kusema naanzisha mradi flani huo ni ujasiri tiyari na vitu vingine kama hivo.
Leo hii kuna watoto miaka 10-20 hajawahi kuchinja hata kuku au mbuzi ni ajabu kweli unaweza kuchukulia haina umuhimu lakini je
Mtu kama huyu akiingia hata nyoka ndani mwake unadhani atakuwa na ujasiri wa kupambana nae?
Nina ushahidi mahali fulani kuna mjusi alinasa kwenye net ya jamaa fln hadi aliomba msadaa kwangu na chumba akahama akalala sebreni watoto wake wakiona na mke wake akiona yaani hata godoro nilihamisha mwenyewe jamaa anachungulia tu hakuishia hapo hadi suruali zake akaniambia nizitoe Imagine!!
Mwanaume alelewe katika hali ya upambanaji kwa 100% afundishwe maisha sio kusoma mtengeneze na plan B,C....& F!
Kwanini ? Nikuulize wewe mwanaume mzee wako kipindi anakulea kuna vitu alihakikisha umefaulu vizuri.
Mfano alikufundisha kufuga na kulima na pengine alikufundisha biashara au uselemara mzee wako hakuwa mjinga alijua haya.
Leo hii mtoto anasoma la kwanza hadi chuo kikuu hata tuta la kusia mchicha hajui kutengeneza.
Imagine huyu kijana awe baba wa familia na bahati mbaya akoswe ajira au hata mtaji unadhani ataishije?
Yaani hakuna kitu anajua zaidi ya kuchati mitandaoni nakuambia hili ni bomu.
Kwa sasa wamefunga tumia hii likizo kuwapeleka kwa babu yao kawatupe huko wiki3 ukisisitiza walime na kuchunga wafanye usafi wa banda na zizi!
Wakate nyasi za ng'ombe wafundishwe kukamua maziwa.
Mabinti wafundishqe kupikia kuni asee. Imagine kuna familia huko daslamu hata nafasi ya kufagia kiwanja haipo nyumba yote imewekwa zege hata unyasi hauoti.
Braza zingatia sana haya machache hata nikiongea na kuandika mambo mengi namna gani bado ukweli utabaki palepale kuwa mwanaume alelewe kwa wivu mkubwa mno.
Ukilegeza umeua kizazi chako chote mwenyewe.
Humo utakuna na akina Davy mvaa shanga Dula uno feni.
Ni hayo tu
NB: Picha haina uhusiano wowote ule uzi huu.
View attachment 3514382
Wa aina hiyo ni wengi sanaKuna mmoja alikua anajua mbuzi anangata
Kaka ndege nimeisoma yotee ni madini . Com
wengi wao kazi wanazoweza ni uchawa tu hasa kule mbogambogaMwanaume unaogopa kuchinja kuku?
💯Naunga mkono hoja.
💯wengi wao kazi wanazoweza ni uchawa tu hasa kule mbogamboga
Hivi mkuu kumbe wewe ni mfuatiliaji wa kipindi cha madini dot com ya EA Radio?Kaka ndege nimeisoma yotee ni madini . Com
Sisi tumeishi mjini na kijijini.
Maisha yetu kwa % kubwa tumeishi kijijini.
Tuna mtoto wa Dada huwa anaogopa na kukimbia kabisa kuona tunachinja mbuzi au kuku.
Huyo dogo unadhani hapo kuna mwanaume jasiri?
Dogo hadi anamaliza form 4 hajui kulima wala kuchimba shimo! Huyu ajira ziking'ang'a kipi kitamsadia na biashara hajawahi fanya?
Naangaliaga you tube kaka ndegeeeHivi mkuu kumbe wewe ni mfuatiliaji wa kipindi cha madini dot com ya EA Radio?
Kwa hakika ni kipindi bora sana Kwa vijana kama Monetary doctorNaangaliaga you tube kaka ndegeee
Monetary doctor amka tukalijenge taifa
Kuchinja kuku kama kuchinja kuku ausio!
Umeongea point sana ila mambo haya wewe acha tu .Wakuu kwa heshima ya dhati kabisa poleni na majukumu na mahangaiko ya leo.
Kuhusu msiba huo sio wa Watanganyika bali ni msiba wa wanaccm na Police wao sisi hautuhusu na haujatusitua kwa lolote.
Mwanaume katika kipindi hiki ni vyema na haki ukamlea mtoto wako kiume japo nusu au hata robo ya malezi uliyolelewa wewe(kiume)
Mwanaume ni lazima alelewe katika hali ya ujasiri 100%
Hiko ni kitu muhimu sana katika malezi yake hii ni tofauti na mwanamke. Ukiweza pandikiza ujasiri kwenye moyo wake roho ya ujasiri imuingie kwa namna yoyote Ile.
Kumbuka huyu ni baba wa kesho wa wajukuu wako je iwapo wewe ukilegeza katika malezi yeye watoto wake unadhani atawalea katika malezi gani? Mdebwedo family?
Zingatia ujasiri ndo mafanikio ya kila kitu! Kitendo tu cha kusema naanzisha mradi flani huo ni ujasiri tiyari na vitu vingine kama hivo.
Leo hii kuna watoto miaka 10-20 hajawahi kuchinja hata kuku au mbuzi ni ajabu kweli unaweza kuchukulia haina umuhimu lakini je
Mtu kama huyu akiingia hata nyoka ndani mwake unadhani atakuwa na ujasiri wa kupambana nae?
Nina ushahidi mahali fulani kuna mjusi alinasa kwenye net ya jamaa fln hadi aliomba msadaa kwangu na chumba akahama akalala sebreni watoto wake wakiona na mke wake akiona yaani hata godoro nilihamisha mwenyewe jamaa anachungulia tu hakuishia hapo hadi suruali zake akaniambia nizitoe Imagine!!
Mwanaume alelewe katika hali ya upambanaji kwa 100% afundishwe maisha sio kusoma mtengeneze na plan B,C....& F!
Kwanini ? Nikuulize wewe mwanaume mzee wako kipindi anakulea kuna vitu alihakikisha umefaulu vizuri.
Mfano alikufundisha kufuga na kulima na pengine alikufundisha biashara au uselemara mzee wako hakuwa mjinga alijua haya.
Leo hii mtoto anasoma la kwanza hadi chuo kikuu hata tuta la kusia mchicha hajui kutengeneza.
Imagine huyu kijana awe baba wa familia na bahati mbaya akoswe ajira au hata mtaji unadhani ataishije?
Yaani hakuna kitu anajua zaidi ya kuchati mitandaoni nakuambia hili ni bomu.
Kwa sasa wamefunga tumia hii likizo kuwapeleka kwa babu yao kawatupe huko wiki3 ukisisitiza walime na kuchunga wafanye usafi wa banda na zizi!
Wakate nyasi za ng'ombe wafundishwe kukamua maziwa.
Mabinti wafundishqe kupikia kuni asee. Imagine kuna familia huko daslamu hata nafasi ya kufagia kiwanja haipo nyumba yote imewekwa zege hata unyasi hauoti.
Braza zingatia sana haya machache hata nikiongea na kuandika mambo mengi namna gani bado ukweli utabaki palepale kuwa mwanaume alelewe kwa wivu mkubwa mno.
Ukilegeza umeua kizazi chako chote mwenyewe.
Humo utakuna na akina Davy mvaa shanga Dula uno feni.
Ni hayo tu
NB: Picha haina uhusiano wowote ule uzi huu.
View attachment 3514382
Kaka nakuona kaka upo powa unaendeleaje?!Umeongea point sana ila mambo haya wewe acha tu .
Sasa kuku nachinja ,mbuzi nachinja na hata wakileta nguruwe sijui eti ni mtata nakuhakikishia nitapambana naye mpaka afe ila haya yote ni elimu ya mtaa ,sasa nimekuwa jasiri mpaka kumpiga mtu biti naweza .
Sikilizeni ushauri wa mwamba enyi wazazi wa Dasalam ,vitoto vyetu tunavilea kama mabroiler kiasi kuwa itawagharimu hapo mbeleni
Suala gumu sana.ukiweza wewe unakua kamanda. Nilichinja mbuz sasa kisu kikafika kwenye mfupa. Ukawa unagoma pale unadhan sio padogo? Unakua jasiriDuh kwa hiyo kuchinja kuku au kutochinja kunapunguza sifa ya kuwa mwanaume?
ila kuongezea ingependeza kila nyumba iwe na bustani nimeshawahi kukutana na mtoto mjini hajui mmea wa muhindi ukoje.
Kaka niko poa ila sasa nimeanza kuwa na wasiwasi juu ya jamaa yetu yule sio rahisi mpaka leo asit9kelezee hapa jamviniKaka nakuona kaka upo powa unaendeleaje?!