Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mimi pia ndugu isingewezekana kukaa kimya kwa muda woteeeeeee huu.Kaka niko poa ila sasa nimeanza kuwa na wasiwasi juu ya jamaa yetu yule sio rahisi mpaka leo asit9kelezee hapa jamvini
Hakika kakaMimi pia ndugu isingewezekana kukaa kimya kwa muda woteeeeeee huu.
Nikitulia tuanzishe thread wadau wanaweza tutupa taarifa tukajua nini kime msibu ndugu YETU.
Katika andiko hili wapi kuna harufu ya ukatili ndg?Kuna tofauti ya ukatili na ujasiri.
Hilo pia watoto wafundishwe.
Unaweza kuwa Katili lakini usiwe Jasiri.
Yaani unaweza ukawa unajua kuchinja mpaka watu lakini Ukawa Muoga.
Ujasiri na kujiamini ni uwezo wa kusimamia na kutetea Ukweli, haki, wema na kuwa upande wa mambo mema hata ikikubidi Kufa. Huo unaitwa ujasiri.
Kwamba uko tiyari mtoto wako wa kiume alelewe na mwanaume mwenzio ndo kubadilika kwa maisha huko si ndio?Maisha yamebadilika mkuu, lakini mawazo yako bado ni yakale
Pamoja mkuu .Umeongea point sana ila mambo haya wewe acha tu .
Sasa kuku nachinja ,mbuzi nachinja na hata wakileta nguruwe sijui eti ni mtata nakuhakikishia nitapambana naye mpaka afe ila haya yote ni elimu ya mtaa ,sasa nimekuwa jasiri mpaka kumpiga mtu biti naweza .
Sikilizeni ushauri wa mwamba enyi wazazi wa Dasalam ,vitoto vyetu tunavilea kama mabroiler kiasi kuwa itawagharimu hapo mbeleni
Mkuu nina uhakika 100% wewe hata ungekuwa nje na ajira huwezi Lia maisha magumu sijui njaa nkChief,
Nakubaliana na wewe kabisa, tunajifunza kupambana na maisha kuanzia kwenye familia zetu
Kama watoto hawajapata msingi mzuri wa kujituma toka wakiwa makwao ukubwani itawapa shida sana
Hutukukulia vijijini lakini baba alinifundisha kujituma toka nikiwa mdogo,alikuwa ananiambia ipo siku moja nitakuwa na familia yangu
Tulibahatika kuwa na mashamba ya kiushikaji tulikuwa tunalima,kuvuna
Tulikuwa na bustani za mboga mboga,tulikuwa na ng'ombe kama wawili watatu ,nilikuwa nasafisha banda,nakamua maziwa,na kuna siku nilimsaidia kumzalisha ng'ombe kwa kumvuta ndama wakati anazaliwa
Mpaka leo nina alama ya kisu mkononi mwangu kidole cha kushoto wakati nakatakata majani ya magwatemala kwa ajili ya ng'ombe
Kwahiyo wazazi wafundisheni watoto namna ya kujituma na kufanya kazi,binti yako ajifunze kupika hata kama dada wa kazI yupo,siku moja moja afanye kazi za nyumbani,na kijana wako hivyo hivyo
Hapa chini angalia video ya watoto wa kishua baada ya kwenda likizo kwa bibi yao
View attachment 3514991
Hii ipo kwa wachaga mkuu mara ya kwanza nakutana na madogo wanauza maduka makubwaKuna clip niliiona sijui Facebook kwenye ukurasa wa TBC Online dogo anauza duka la baba'ake.
Tena dogo kamaliza STD 7 mwaka huu.
Mzee katulia zake dukani anamuangakia dogo anavyouza duka la hardware..
Mzee anasema alikuwa hataki kumuona mwanae anaangalia katuni
Mzee sisi ili akupe sadaka lazima akukatie kipande ulime au somber mbolea ama ukakate kuni yaani lazima ili upewe pesa lazima uifanyie kazi. Hadi leo siamini kuna pesa ya bure bure.Umeandika point kubwa sana. Tunapoteza wanaume wengi kwa ujinga wa malezi hapa katikati. Mtoto wa miaka 5 tayari keshanunulia iPad anaangalia Cocomelon akifika miaka 8 hata kufua boksa yake hajui, huyu dogo miaka 13-14 hawezi kunja shuka lake, wala usafi chumbani kwake hawezi.
Tujitathimini sana kama wazazi. Hili kundi tunalisahau katika Generation ambayo inataka kurahisisha kila kitu. Mtoto wa kiume kukaza hajui kabisa anataka pesa na mafanikio ya fastafasta. Bladfaken. Who Are Youuu?
Acha mawazo ya kale mkuu, kujua kucheza Bonanza au kubeti hakukuondolei uanaume , hata kama hujui kulima hakukuondolei uanaume Uanaume ni Maumbile na hormone ya kiume, baada ya hapo kama binadamu ni muhimu kufanya kazi ya kukuingizia kipato. Kama hauna kipato hauwezi kuheshimika hata kama una uwezo wa kulima hekari 100 kwa wiki. Njia za kujipatika kipato zipo nyingi na nikweli hakuna pesa ya bure. Kuishi maisha magumu , au kimaskini haikufanyi kuwa mwanaume . nimuhimu kufundisha watoto kujitegemea lakini kamwe hii haiwezi kuwa sababu ya maumbile ya kibiolojia.Mzee sisi ili akupe sadaka lazima akukatie kipande ulime au somber mbolea ama ukakate kuni yaani lazima ili upewe pesa lazima uifanyie kazi. Hadi leo siamini kuna pesa ya bure bure.
Hapa nilipo sijui kubeti hata lile bonanza la mchina sijui kulicheza.
Kipindi hicho mzee nilimuona mkoloni sana kuna bonge la Dady asee
Wapi nimesema kuishi magumu au kimaskini ndo uanaume? Mbona maelezo yoote ulitoa hapa na mimi nasisitiza hivyohivyo kuwa mwanaume lazima uwe mpambanaji haijarishi umelelewa mazingira gani nini point yako?Acha mawazo ya kale mkuu, kujua kucheza Bonanza au kubeti hakukuondolei uanaume , hata kama hujui kulima hakukuondolei uanaume Uanaume ni Maumbile na hormone ya kiume, baada ya hapo kama binadamu ni muhimu kufanya kazi ya kukuingizia kipato. Kama hauna kipato hauwezi kuheshimika hata kama una uwezo wa kulima hekari 100 kwa wiki. Njia za kujipatika kipato zipo nyingi na nikweli hakuna pesa ya bure. Kuishi maisha magumu , au kimaskini haikufanyi kuwa mwanaume . nimuhimu kufundisha watoto kujitegemea lakini kamwe hii haiwezi kuwa sababu ya maumbile ya kibiolojia.
Sahihi mkuuMwanaume epuka saana mtoto wako wa kiume kulelewa na mama pekee.
Kabisa. Wanaume wenye familia zao kwa sasa mfano kwenye sikukuu anapochinja mbuzi kwakwe ataleta wachinjaji kabisa na wachunaji.Watoto wa kiume wamekua waoga sana sikuiz
Mkuu likizo inatosha kabisa kumafundisha mtoto wako hata kama hata fikia kiwango chako ulivyolelewa na baba yetu angalu hata nusu yake tuKushiriki malezi hasa kwa mtoto wa kiume ni jambo la msingi lakin mazingira ya mtoto kuishi boding pamoja na ubize wa utafitaji ndo tatizo. Kikubwa sala
Sahihi mkuu.Mkuu likizo inatosha kabisa kumafundisha mtoto wako hata kama hata fikia kiwango chako ulivyolelewa na baba yetu angalu hata nusu yake tu