Mwanaume kamili acha mara moja mambo haya

Mwanaume kamili acha mara moja mambo haya

Behind the camera

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
315
Reaction score
756
Habari.

Bila shaka mmeamka vyema.

Nanena na wanaume wenzangu pamoja na vijana wa KIUME. Kuna ka tabia ka kike kike kanaendelea huko kunako simu na mitandao ya kijamii.

Ka tabia haka ni kutumia baadhi ya matamshi ambayo yanapunguza thamani ya uwanaume kwakua na viashiria vingi vya kike.

MFANO wa maneno MACHACHE yanayonikera.

1. THATHA' / XAXA badala ya 'SASA'

2. Mwanaume mwenzio kumtumia meseji ya 'MAMBO'

3. Kumtumia meseji mwanaume mwenzio kisha kuweka emoja za kuona aibu (Nadhani mnazijua)

4. Kukerwa na mtu kisha kupost status kwa vijembe vya mafumbo (hasa nyimbo)

YAKO MENGI

Hebu nawe ongeza matumizi mabaya ya simu ambayo hakupaswa kuwa nayo mwanaume.

Asanteni.
 
Mwanaume kutumia iPhone sio vibaya ila ukijisifu huo ni umama

Mwanaume kutoangalia mpira

Kusapoti mademu badala ya mchizi mwenzako

Mwanaume kuwa mmbea kuwasema washkaji kama hawapo waseme wakiwa round wakusikie acha tabia za kike

Mwanaume kukaa na kitu moyoni huo ni udada sasa

Mwanaume kulia lia hovyo lia Mara moja tu na ujifiche tusione machozi yako ili umwage sumu
 
Sahihi kabisa
 
  • Kuvaa kipin puani,
  • Kuvaa milegezo huku kwetu tunaita "kata k"
  • Kuongea kwa kujishebedua kama binti.
  • Kujipaka poda na wanja
  • Kumtumia txt mwanaume mwenzako za "my"
  • Kujisifu kuwa ww ni mwanaume lijari kisa una madem wengi.
  • Kujisifu kwa kuchepuka na kumsaliti mwenzi wako.
 
Kwa humu jf ziwaendee wale wanaume wanaojifanya ujuaji mwingi na dharau zisizo na kichwa wala miguu tena kwa mtu ambaye hata humjui zaidi ya kuona maandishi tu.

Punguzeni kwani huwa tunawatoa kwenye kundi la wanaume kamili.
 
Mamboz!!
 
Back
Top Bottom