Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 756
Habari.
Bila shaka mmeamka vyema.
Nanena na wanaume wenzangu pamoja na vijana wa KIUME. Kuna ka tabia ka kike kike kanaendelea huko kunako simu na mitandao ya kijamii.
Ka tabia haka ni kutumia baadhi ya matamshi ambayo yanapunguza thamani ya uwanaume kwakua na viashiria vingi vya kike.
MFANO wa maneno MACHACHE yanayonikera.
1. THATHA' / XAXA badala ya 'SASA'
2. Mwanaume mwenzio kumtumia meseji ya 'MAMBO'
3. Kumtumia meseji mwanaume mwenzio kisha kuweka emoja za kuona aibu (Nadhani mnazijua)
4. Kukerwa na mtu kisha kupost status kwa vijembe vya mafumbo (hasa nyimbo)
YAKO MENGI
Hebu nawe ongeza matumizi mabaya ya simu ambayo hakupaswa kuwa nayo mwanaume.
Asanteni.