Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
FB_IMG_1664803827301.jpg
 
Unapanda ukiwaangalia kwenye mapaji yao ya uso!

Ukijichanganya ukawaangalia watano tu kwenye macho kama ni shindano rudi nyuma maana mpaka uje kufika juu jasho linakutoka.

By the way,walikuwa wanafanya nini mkusanyiko wote huo?
 
Napita huku nawatabasamia nawagongea viganja vyao, wakizidi kujichekesha nampiga mmoja wao mate.. 😂 Naenda kukaa juu kabisa, hao nitakaokaa nao kwa action zangu toka napanda ngazi wameisha.. Mazingira yakiruhusu naWAKULA KIMASIHARA TU 😂
 
Nomaa huu ulikua Mkusanyiko wa pisi za chuo cha Florida Mkuu
 
Napita huku nawatabasamia nawagongea viganja vyao, wakizidi kujichekesha nampiga mmoja wao mate.. 😂 Naenda kukaa juu kabisa, hao nitakaokaa nao kwa action zangu toka napanda ngazi wameisha.. Mazingira yakiruhusu naWAKULA KIMASIHARA TU 😂
🤣🤣🤣 yaani ni mbuzi kafia kwa muuza supu
 
unapita kwenda wapi ? hapo unaweka kituo kigoma mwisho wa reli , unaweka na bango tahadhari hakuna njia, unasimama katkat ya ngazi unawaangalia wao
#rahajipemwenyewe
 
Hahah unasimama katikati ...ukijeuka nyuma ukijeuka mbele ni kuappreciate kazi ya Muumbaji 🤣 😂
 
Enzi zile za "Utemi", ikimpendeza, anaweza kuamuru aoe wote hao kwa mpigo!

Na wasaidizi wa kiume wote wa Ikulu anawafanya "matowashi" wa kuwahudumia wakeze hao ili atambe vizuri yeye tu peke yake.

Ref: Sultan Seyyid Sayyid wa Zanzibar, au
Mfalme Suleiman wa kwenye biblia!
 
Back
Top Bottom