Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

🤣🤣🤣 yaani ni mbuzi kafia kwa muuza supu
😂 😂 Hapo ni kuchuna ngozi, kumtawanya, ndimu nyingii, chumvini kiasi, mzigo unaliwa kimasihara, MBUZI KAGOMA halafu kafia kwa muuza supu lazima atafunwe kwa staili hiyo. 😂
 
Enzi zile za "Utemi", ikimpendeza, anaweza kuamuru aoe wote hao kwa mpigo!

Na wasaidizi wa kiume wote wa Ikulu anawafanya "matowashi" wa kuwahudumia wakeze hao ili atambe vizuri yeye tu peke yake.

Ref: Sultan Seyyid Sayyid wa Zanzibar, au
Mfalme Suleiman wa kwenye biblia!
Watu walifaidi katika jina la uongozi😅😅
 

Attachments

  • Screenshot_20221003-185731 (1).png
    Screenshot_20221003-185731 (1).png
    121.8 KB · Views: 9
Back
Top Bottom