Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

Unapanda ukiwaangalia kwenye mapaji yao ya uso!

Ukijichanganya ukawaangalia watano tu kwenye macho kama ni shindano rudi nyuma maana mpaka uje kufika juu jasho linakutoka.

By the way,walikuwa wanafanya nini mkusanyiko wote huo?
 
Napita huku nawatabasamia nawagongea viganja vyao, wakizidi kujichekesha nampiga mmoja wao mate.. πŸ˜‚ Naenda kukaa juu kabisa, hao nitakaokaa nao kwa action zangu toka napanda ngazi wameisha.. Mazingira yakiruhusu naWAKULA KIMASIHARA TU πŸ˜‚
 
Unapanda ukiwaangalia kwenye mapaji yao ya uso!

Ukijichanganya ukawaangalia watano tu kwenye macho kama ni shindano rudi nyuma maana mpaka uje kufika juu jasho linakutoka.

By the way,walikuwa wanafanya nini mkusanyiko wote huo?
Nomaa huu ulikua Mkusanyiko wa pisi za chuo cha Florida Mkuu
 
🀣🀣🀣 yaani ni mbuzi kafia kwa muuza supu
 
unapita kwenda wapi ? hapo unaweka kituo kigoma mwisho wa reli , unaweka na bango tahadhari hakuna njia, unasimama katkat ya ngazi unawaangalia wao
#rahajipemwenyewe
 
unapita kwenda wapi ? hapo unaweka kituo kigoma mwisho wa reli , unaweka na bango tahadhari hakuna njia, unasimama katkat ya ngazi unawaangalia wao
#rahajipemwenyewe
Hahah unasimama katikati ...ukijeuka nyuma ukijeuka mbele ni kuappreciate kazi ya Muumbaji 🀣 πŸ˜‚
 
Enzi zile za "Utemi", ikimpendeza, anaweza kuamuru aoe wote hao kwa mpigo!

Na wasaidizi wa kiume wote wa Ikulu anawafanya "matowashi" wa kuwahudumia wakeze hao ili atambe vizuri yeye tu peke yake.

Ref: Sultan Seyyid Sayyid wa Zanzibar, au
Mfalme Suleiman wa kwenye biblia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…