Kuwa straight forward sema unataka mwanaume wa kukutoa genye tu ukitaka ndoa tena unajitafutia maumivu mengine kwako wewe na kwa watoto wako, kwa ushauri wangu tafuta kijana ambaye anajitambua awe anakuburudisha taratibu in a descret way hao kuanzia 40 wenyewe utakuta wanamatatizo Kama wewe na pia kwa umri huo nadhani kuna namna utahitaji uhuru kucontrol maisha yako
Mama Agness usitumie nguvu mkabidhi Mungu hakuna linaloshindikana.
Uko tayari kufanywa Kila siku?
Kama mwanamke yani kuingiliwa ukeniKufanywa nini
Kama mwanamke yani kuingiliwa ukeni
Ilawala sina genye
Mambo ni mengi,mda ndio mchache.ni moja ya mambo yanayofanyika ila sio jambo pekee.
Sababu ya talaka ilikuwa ni nini?Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi
Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka
Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe