Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Miaka 66
 
Me nina miaka 39+ naomba unifikiriee
 
Mmi mkristu. Ninahitaji mwenza nina umrj miaka zaidi ya 60. Dini hairuhusu kuoa mtaliki au mtalikiwa. NI kuzini.Hii ikoje utafute mkristo?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]niombee mwenzio...

Wanaume na wanawake wako tele wengi tuu. Kikubwa Mungu atupatie aliye sahihi
Usahihi unaanza kwa wewe mwenyewe.
Alafu kwenye maisha kuna kuvumiliana hakuna aliye sahihi. Unaweza ukakuta kitendo cha kuweka vigezo, basi unaonekana hauko sahihi.

Hivyo nakushauri, kama unahitaji mtu, hakikisha unapata yule utakayekuwa comfortable kuwa naye. Hayo mengine ni mwembwe tu
 
Kwenye mahusiano huwa hatutakiwi kuvumiliana tunatakiwa kuchukuliana mapangufu kila mmoja aliyo nayo.
Ukipata mtu sahihi hutomvumilia maana utafanya kukamilisha pale anapopungukiwa na yeye atafanya hivyo kwa pale unapopungukiwa wewe bila kuhisi maumivu ya kuvumiliana

Sasa hicho wewe unachokiita mbwembwe ni nini
 
Kuchukulia mapungufu ya mwenzio ndio kuvumilia kwenyewe huko.
Mbwembwe ni hayo mengine mnayoongezea kama sifa za muomba kazi kwenye makampuni.

Kuhusu mtu sahihi bado najiuliza mtu sahihi ni yupi? Ni yule mwenye kukidhi mahitaji yako yote au ni yule unayekidhi mahitaji yake yote???????

Bado naendelea kujiuliza
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
njoo pm

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mbwembwe ni hayo mengine mnayoongezea kama sifa za muomba kazi kwenye makampuni.

Kuhusu mtu sahihi bado najiuliza mtu sahihi ni yupi? Ni yule mwenye kukidhi mahitaji yako yote au ni yule unayekidhi mahitaji yake yote???????

Bado naendelea kujiuliza

sasa mbona unakasirika!?

kwani kuna sehemu yoyote nimekukwaza??

Au sina haki ya kufanya maamuzi kwa wakati nitakapojiridhisha?

Usichukie nikiwa tiyari nitakujuza
 
Back
Top Bottom