Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

Mi nna miaka 46[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwe mbio za kukutaka ndo mana nakuchebacheba, kuna vigezo vichache kati ya ulivyotoa navikamilisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Achana na hizo mbio sasa maana umenisema na kuninyanyapaa kwanza weeee
Na mimi nimeshakukataa😂😂
 
Hicho kielimu chako ndo kimekufanya uachike😀
 
Hicho kielimu chako ndo kimekufanya uachike😀

Hakuna mwanaume anayeoaga ki-elimu, wala hakuna ndoa inayovunjikaga kwa sababu ya ki-elimu.

Pia hakuna binadamu wa kike wala wa kiume anayeamuaga kuingia kwenye mahusiano ili baadae yavunjike

Kinachovunja mahusiano ni tabia kama hiyo yako ya kufanya au kuongea mambo ya kuumiza wengine kwa makusudi bila kujali na bila hata kujua ukweli wa mambo hayo

Mungu akusamehe sana. Halafu mimi sikuachika✌ Stanboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…