Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote
maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na mwanamke mmoja kwaajili ya afya yako heshima yako pamoja na usalama wa uchumi wako itambue thamani yako kama mwanaume sio Kila mtu ana stahili kuuona utupu wako.