Mwanaume kucheza Amapiano kwa kubinua macho kama mtu anaepandisha mashetani ndio nini tena jamani?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi..,

Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
 
Bila video ni ngumu sana kuelewa. Ila pia kuna uhusiano wa karibu kati ya burudani na ushetani.

Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
Huyu kisha left kwenye group
 
download.jpg
 
Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi..,

Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?

Yewezekana ndo namna ya upadishaji mashetani wenyewe.

Si wajua hayo AMAPIANO ni ibaada kama ibaada zingine tu, tena hii ni ibaada ya kishetwani haswaa!

Kumbuka asilimia 70 ya mambo yanayoendelea kwa sasa, yanalenga kuharibu kusudi la MUNGU kwa mwanadamu.

Mifano: leo hii, wanamke kufanya mambo ya kiume (mfno. usagaji) na mwanaume ya kike (mfno. Ushoga) ambavyo taratibu vimeanza kuzoeleka. Mwisho wa siku vitakuwa mambo ya kawaida na watu wataona ni haki yao ( rejea ushoga & usagaji kwa wazungu).

Kwa hiyo hata hayo mapiano ni programm kama programms zingine za kishetani.
 
Haya ndio mambo yanayo sababisha hata umeme unakatika...😎
 
Back
Top Bottom