FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Bila video ni ngumu sana kuelewa. Ila pia kuna uhusiano wa karibu kati ya burudani na ushetani.Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi..,
Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
Huyu kisha left kwenye groupIla nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
Bila video ni ngumu sana kuelewa. Ila pia kuna uhusiano wa karibu kati ya burudani na ushetani.
Huyu kisha left kwenye group
Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi..,
Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umesahau na kutoa ulimi nje kama nyoka wa kibisa. [emoji1787][emoji1787]
Ila hivyo kila mtu anakula starehe yake kwa style anayo penda.