HahahaaHakuna mwanamke atakupa pesa yake kama tunavyowapa dunia nzima labda awe anakuhitaji zaidi ya unavyomhitaji.
Ruksa,,lkn vigezo na masharti uzingatie,mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
Sasa mbona siku hizi tumestuka mnatufilisi ila mnakuwa wakali mnatuita marioo?Hahahaa
Kumbe unalifahamu hilo
Ukitafuta mwenye uwezo hapo sio kusaidiana ila kulelewamimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
DabyKumbe nilikuwa nakosea kukutafuta kutumia nguvu eeh? ndiyo maana toka mwaka jana unanizungusha
Eeeh nikutafute kwa nguvu ipi! akili?
Naona siku hizi umejipodoa umekuwa kazungu?Daby
Haha niliona unafukuzia sana mabinti weupe nikajua labda tatizo rangiNaona siku hizi umejipodoa umekuwa kazungu?
Umenipata hapa.Haha niliona unafukuzia sana mabinti weupe nikajua labda tatizo rangi
Umenipata hapa.
eeenh ulipotelea wapi?
Haukuwepo bhana nimekuulizia saana humu jukwaani.Mimi mbona nipo nimejaa tele
Sijafanikisha aisee nimetwanga maji kwenye kinu hahaa uzi niliuona kweli, asante kwa kunikumbukaHaukuwepo bhana nimekuulizia saana humu jukwaani.
Vipi kilichokupoteza umekifanikisha?
Ukaishia kujimwagia hayo maji?Sijafanikisha aisee nimetwanga maji kwenye kinu hahaa uzi niliuona kweli, asante kwa kunikumbuka
Maana halisi ya kudanga ni watu ambao wana nyota ya DUDU by WeusiHivi maana ya kudanga ni ipi hasa?
Sawa babyUkaishia kujimwagia hayo maji?
Pole aseeh siku ingine ukitoweka niambie tutoweke wote yasikupate haya.
Majina ya kuibiwa haya.Sawa baby
Haha ukiitwa majina haya jiandae kutafuta ATM card iko wapiMajina ya kuibiwa haya.
Ndiyo maana nikalikataa mapema.Haha ukiitwa majina haya jiandae kutafuta ATM card iko wapi
Huna lolote sema kuna mtu unaogopa macho yakeNdiyo maana nikalikataa mapema.