Mwanaume kudanga ni sawa?

Mwanaume kudanga ni sawa?

mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
Ruksa,,lkn vigezo na masharti uzingatie,
Usafi wa nyumbani,upishi kumwandalia kila kt asubuhi kbl ya kwenda kzn na usisahau kumfungulia mlango akichelewa kurudi,![emoji120]
 
mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
Ukitafuta mwenye uwezo hapo sio kusaidiana ila kulelewa
 
Haukuwepo bhana nimekuulizia saana humu jukwaani.

Vipi kilichokupoteza umekifanikisha?
Sijafanikisha aisee nimetwanga maji kwenye kinu hahaa uzi niliuona kweli, asante kwa kunikumbuka
 
Sijafanikisha aisee nimetwanga maji kwenye kinu hahaa uzi niliuona kweli, asante kwa kunikumbuka
Ukaishia kujimwagia hayo maji?

Pole aseeh siku ingine ukitoweka niambie tutoweke wote yasikupate haya.
 
Baada ya kupata utetezi kutoka ubalozi wa marekani na umoja wa ulaya naona wimbi la kuhamia team "watatuliwa" marinda mnazidi kuchukua nafasi huko
 
Hapana Mkuu si sahihi, utakosa kadada ka kukusaidia katatokea kakaka mwisho utaangukia pabaya ,samahani kama nitakua nimekukwaza kwa comment yangu
 
Back
Top Bottom