Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
tena wengine wanaanzisha uzi wa kujipongeza kabisa.Hahahhha
Sababu wanaume wa dar ndio zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena wengine wanaanzisha uzi wa kujipongeza kabisa.Hahahhha
Sababu wanaume wa dar ndio zao
mimi nna miaka 34 elimu sina kazi ngumu nafanya lakini kipato hakinisogezi popote zaidi ya kula na kuishi nakaa site ya mtu na sina mtoto mke wala mtu wakunisaidia
ivi wadau nikipata msichana anauwezo tukasaidiana maisha ntakua na kosea
[emoji4][emoji4][emoji4]huwezi katwa wewe.
Title yako haihusiani na ulichoandika kwenye uzi.huuuhu unajua nimetafuta title nzito ku gain attention but msg ina ukweli
Nimeshakuchukua kabla hata ya kupata jibuok basi nichukue
Utanikamatia wapi sas na nimeacha.Mmmhhh sio kwa wewe nikikubamba chocho unachomeza kadada nifanyeje?
Haha nilitegemea jibu la kisiasa kama hiliUtanikamatia wapi sas na nimeacha.
That is alternative definitionnop kudanga ni kuishi kwa kukumtegemea mtu
I think google will be the last resortreal so whats the real meaning?
OK, fine let's use urban dictionary
Mh!Unafaa kwa matumizi yangu binafsi
Namimi nipo serious au waonaje?hahahahaaa mama mi nipo serious jamani
Mhh