Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

Amesema hapo juu kua mwanamke akifuga ni urembo pia zinaamsha hisia za mwanaume chumbani,

Basi na mwanaume pia zinaamsha hisia za mwanamke.
Duuuh! basi sawa mkuu kama utakuwa umesimpolaizi hivyo, otherwise mimi nilikuwa nimeelewa tofauti km mwanafunzi wa A'level anayesoma pure mathematics hlf akutane na swali la 1+2 kwenye necta, ataanza kucomplicate maana atajua kategwa hahaha.....atanza kulet x=1 na Y= 2
 
Jamani mwenye sukari hata nusu naazima maana nahisi kesho hapa nyumbani ni mwendo wa maji ya moto na majani tuu..
 
Sio urembo
Ni ujinga
Kucha zinafuga uchafu hilo halina ubishi
Hao wanaosema eti kina kazi kwenye MAPENZI huwa naona ni utoto na ujinga
Yaani kweli tunakuwa wadhaifu iv kwenye MAPENZI kiasi cha kubadili kazi ya organ za mwili... Mimi binafsi zishauri ufugaji wa kucha kwa mwanaume sambamba na uvaaji wa mabangili mikufu makacha
Hahahah aisee kumbe hazina kazi
 
Kufichia vidawa vya limbwata na zingine kutoka kwa waganga wa kienyeji

Kwa mwanaume ni tabia inayolandana na zile za kigasho
 
Back
Top Bottom