Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

Mwanaume kufuga kucha ni urembo pia?

Alafu unakuta kucha zenyewe ni cidole vya mwisho au gumba, sijui kujiosha choono inakuaje!!
Mi niko Dar, ila nimeanza tambua kuwa sio mwanaume wa Dar, hivi vituko ni Dar ndo unavikuta!!
 
Napenda sana kucha&ninazo ndefu mikono yote miwili
 
Back
Top Bottom