Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!

DA
Mimi nimeongelea kwa upande wangu tu, lakin sihalalishi mwanaume hawezi kuomba vocha
Hivi kwanini kwenye masuala ya pesa za mwanamke kutumiwa na mwanaume inakuwa ngumu sana???
Any reason plse???

Wewe ndo mzee wa nyumba halafu unataka mama ndo awe mwenye nyumba?? Lazima uonyeshe wewe ndo mwenye nyumba bana
 

hapana Maty kama huombi ni wewe na wengine wachache lakini majority ya wanawake ni 'kama kawa kama dawa' hata kama kamzidi mwanaume kipato
 
Mimi na wewe tunajuana so nikiwa nimepigika sioni tatizo kukwambia lakini ingekuwa ndio mara ya kwanza tumekutana dah aisee ingekuwa ngumu

Maneno hayooooo
That's what I'm talking about
Angesubiri kidogo tu
Mpaka aitwe mpenzi
Hahaha lol

We bado hujaniomba vocher
Embu niombe haraka
hahahahahahahah lol
 


Na ungemtongoza wewe huyo ungeshangaa
 
Wewe ndo mzee wa nyumba halafu unataka mama ndo awe mwenye nyumba?? Lazima uonyeshe wewe ndo mwenye nyumba bana

Halafu nyie mnataka usawa kwenye nini na nini??:lol::lol:
 

We dada ni vile tu hujampenda huyo kaka lakini ingekuwa kwamba roho yako imemkubali walahi ungempa hiyo voucher. mbona sioni tatizo???
 
Wanaambiwa hivi ili wasijisikie vibaya, lakin uchumvi-chumvi uko pale pale :juggle::lol:

:lol::lol::lol:

πŸ˜›anda:πŸ˜›anda:πŸ˜›anda:

ha ha ha ha tujisikie vibaya kwanini wakati hata pangekuwa pa chachu hamchoki kutaka kufika hapo? semeni yote ila wengine hadi wanafikia hatua ya kukana viapo na wengine kuua, kufisadi ili wapate tu kufika hapo....mna tabu nyie viumbe...acheni kuomba vocha!!
 
hapana Maty kama huombi ni wewe na wengine wachache lakini majority ya wanawake ni 'kama kawa kama dawa' hata kama kamzidi mwanaume kipato

Hakupendi huyo mpenzi unalazimisha penzi hapo stuka! unajua mwanaume kama ni mpenzi wako na mmezoena akiwa hana hela utamjua tu, na hapo lazima nimsaidie kama ninacho lakini unaona kabisa huyu mpenzi wangu wa siku nyingi na kipato anakuzidi lakini hata siku moja hatoi kuomba omba tu uyo dada hakupendi. Yaani na wewe kusoma hujui hata kuangalia picha
 
Na hazinduki mpaka kikombe cha babu :lol::lol:


ha ha ha ha ha haaa :lol::lol:

hawa watu bana sijui ni usawa gani wanaodai, kila siku wanaupiga vita mfumo dume.. sasa kuombwa vocha tu mishipa imeshawashupaa
 
Maneno hayooooo
That's what I'm talking about
Angesubiri kidogo tu
Mpaka aitwe mpenzi
Hahaha lol

We bado hujaniomba vocher
Embu niombe haraka
hahahahahahahah lol
Ahaaa ahaaa sugarcake naomba unitumie vocha ya tigo ya 500
 

Hapo umeombwa vocha ya jelo una ng'aka hivyo je ukiombwa pesa ya kulipia pango si utalipuka?
 

hata kama hatujawahi lakini haimaanishi hatutawahi....maji yakizidi unga unakua huna jinsi.usawa wenyewe huu ukijitutumua zaidi ya uwezo wako si utakufa kibudu bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…