Wanawake kupenda vya dezo . . . NI SAWA
Wanaume . . . SIO SAWA
Lakin hapo hapo wanawake wanataka USAWA??? :lol::lol::lol:
kama majukumu yote mtayaweza tutakaa kimya mpaka mtashangaa.lakini kwa style ya kuhamaki tukiomba voucher tu sidhani kama mtamudu kua vichwa vya nyumba
Ukiombwa kodi ya nyumba je si uta wehuka
mkuu akiombwa hela ya kodi ya pango atazimia huyu... lolz
Na hazinduki mpaka kikombe cha babu :lol::lol:
Hapo umeombwa vocha ya jelo una ng'aka hivyo je ukiombwa pesa ya kulipia pango si utalipuka?
Hahahaha atakufa kwa presha na sheli juu
Halafu nyie mnataka usawa kwenye nini na nini??:lol::lol:
😛anda:😛anda:😛anda:
ha ha ha ha tujisikie vibaya kwanini wakati hata pangekuwa pa chachu hamchoki kutaka kufika hapo? semeni yote ila wengine hadi wanafikia hatua ya kukana viapo na wengine kuua, kufisadi ili wapate tu kufika hapo....mna tabu nyie viumbe...acheni kuomba vocha!!
Duh ndo maana ma PUNGa wengi these days! wanaume kama mabinti hawa!!!!!!!!
l.o.l :hug: its sweeter that way.....mwanaume abaki kuwa mwanaume na awe na tabia za kiume.....period!!
watu ukiwanyima vocha wanakuvamia kama walivyovamia Libya kwa kunyimwa mafuta......wakali hao....eti wataka usawa....wazae basi na wao.....
mimi sijambo,nam miss sana Hashycool....natamani aje tu kwa sekunde aishie zake....i hope he is well...yule hata aishiwe vipi haombi vocha,nami nikihisi kaishiwa nampigia simu mimi mwenyewe!!!.....:juggle:
Hapo umeombwa vocha ya jelo una ng'aka hivyo je ukiombwa pesa ya kulipia pango si utalipuka?
Sasa mkiambiwa muwe mnatoa mahali ingekuwaje? Kavocha ka jero tu mnaandamana kwa NGUVU YA UMMA
Hakupendi huyo mpenzi unalazimisha penzi hapo stuka! unajua mwanaume kama ni mpenzi wako na mmezoena akiwa hana hela utamjua tu, na hapo lazima nimsaidie kama ninacho lakini unaona kabisa huyu mpenzi wangu wa siku nyingi na kipato anakuzidi lakini hata siku moja hatoi kuomba omba tu uyo dada hakupendi. Yaani na wewe kusoma hujui hata kuangalia picha
basi na kelele za usawa mzikaushie
:lol::lol::lol:Kwa kweli hii inatisha
what's next
Wataanza kulalamikia shampoo
Na conditioner
sababu nywele zao za shika vumbi
mmmmhhhbhh haki sawa
hahaha lol
Usijali bibi mzuri nimesha mtuma malaika
akamwite Hashycool ..
atakuja muda si mrefu...
Na TF nambembeleza aniombe vocher naona
Anaringa ringa
hembu mwambie aniombe haha lol
ha ha ha ha ha haaa :lol::lol:
hawa watu bana sijui ni usawa gani wanaodai, kila siku wanaupiga vita mfumo dume.. sasa kuombwa vocha tu mishipa imeshawashupaa
Kwa kweli hii inatisha
what's next
Wataanza kulalamikia shampoo
Na conditioner
sababu nywele zao za shika vumbi
mmmmhhhbhh haki sawa
hahaha lol
Usijali bibi mzuri nimesha mtuma malaika
akamwite Hashycool ..
atakuja muda si mrefu...
Na TF nambembeleza aniombe vocher naona
Anaringa ringa
hembu mwambie aniombe haha lol
Ahaaa ahaaa sugarcake naomba unitumie vocha ya tigo ya 500
offcoz nilimis-pellulimaanisha mahari?
nitakutafuta unipe somo zaidi maana wako wengi kweli wa jinsi hiyo.it seems ninabahati mbaya nao
Hapo hatujawaambia wafanye kazi zingine za kiume