Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!

Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!

Wanawake kupenda vya dezo . . . NI SAWA
Wanaume . . . SIO SAWA

Lakin hapo hapo wanawake wanataka USAWA??? :lol::lol::lol:

mkuu umeona eeeh!!!...hapa lazima watupe ufafanuzi akinifu
 
kama majukumu yote mtayaweza tutakaa kimya mpaka mtashangaa.lakini kwa style ya kuhamaki tukiomba voucher tu sidhani kama mtamudu kua vichwa vya nyumba

Ukiombwa kodi ya nyumba je si uta wehuka

mkuu akiombwa hela ya kodi ya pango atazimia huyu... lolz

Na hazinduki mpaka kikombe cha babu :lol::lol:

Mpaka nafika hatua ya kulipa kodi ya nyumba huyo mwanamme nampenda sana,namuelewa na tumekubaliana kutokana na hali fulani.....huyu anayeomba vocha hapa, wako katika hatu ya kutongozana na kasema hana mapenzi nae....acheni kutengeneza story zisizokuwepo......stick to the topic.....kodi ya nyumba na vocha havifanani.....narudia,acheni kuomba vocha,haipendezi....cheap!!:lol::lol::lol:
 
Duh ndo maana ma PUNGa wengi these days! wanaume kama mabinti hawa!!!!!!!!
 
😛anda:😛anda:😛anda:

ha ha ha ha tujisikie vibaya kwanini wakati hata pangekuwa pa chachu hamchoki kutaka kufika hapo? semeni yote ila wengine hadi wanafikia hatua ya kukana viapo na wengine kuua, kufisadi ili wapate tu kufika hapo....mna tabu nyie viumbe...acheni kuomba vocha!!

Sasa mkiambiwa muwe mnatoa mahali ingekuwaje? Kavocha ka jero tu mnaandamana kwa NGUVU YA UMMA
 
watu ukiwanyima vocha wanakuvamia kama walivyovamia Libya kwa kunyimwa mafuta......wakali hao....eti wataka usawa....wazae basi na wao.....

mimi sijambo,nam miss sana Hashycool....natamani aje tu kwa sekunde aishie zake....i hope he is well...yule hata aishiwe vipi haombi vocha,nami nikihisi kaishiwa nampigia simu mimi mwenyewe!!!.....:juggle:

Kwa kweli hii inatisha
what's next
Wataanza kulalamikia shampoo
Na conditioner
sababu nywele zao za shika vumbi
mmmmhhhbhh haki sawa
hahaha lol

Usijali bibi mzuri nimesha mtuma malaika
akamwite Hashycool ..
atakuja muda si mrefu...

Na TF nambembeleza aniombe vocher naona
Anaringa ringa
hembu mwambie aniombe haha lol
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Hapo umeombwa vocha ya jelo una ng'aka hivyo je ukiombwa pesa ya kulipia pango si utalipuka?

Tshala muana aliimbia

Unapenda dezo dezo,

Pombe unaomba omba, sigara hutaki kuacha, kodi ya nyumba hulipi maji yameshakatwa eehhh operation kata umeme inakuja!! Sio maneno yangu tafadhali Fidel usifike hapa....................
 
Hakupendi huyo mpenzi unalazimisha penzi hapo stuka! unajua mwanaume kama ni mpenzi wako na mmezoena akiwa hana hela utamjua tu, na hapo lazima nimsaidie kama ninacho lakini unaona kabisa huyu mpenzi wangu wa siku nyingi na kipato anakuzidi lakini hata siku moja hatoi kuomba omba tu uyo dada hakupendi. Yaani na wewe kusoma hujui hata kuangalia picha

nitakutafuta unipe somo zaidi maana wako wengi kweli wa jinsi hiyo.it seems ninabahati mbaya nao
 
Kwa kweli hii inatisha
what's next
Wataanza kulalamikia shampoo
Na conditioner
sababu nywele zao za shika vumbi
mmmmhhhbhh haki sawa
hahaha lol

Usijali bibi mzuri nimesha mtuma malaika
akamwite Hashycool ..
atakuja muda si mrefu...

Na TF nambembeleza aniombe vocher naona
Anaringa ringa
hembu mwambie aniombe haha lol
:lol::lol::lol:
 
ha ha ha ha ha haaa :lol::lol:

hawa watu bana sijui ni usawa gani wanaodai, kila siku wanaupiga vita mfumo dume.. sasa kuombwa vocha tu mishipa imeshawashupaa

Hapo hatujawaambia wafanye kazi zingine za kiume
 
Kwa kweli hii inatisha
what's next
Wataanza kulalamikia shampoo
Na conditioner
sababu nywele zao za shika vumbi
mmmmhhhbhh haki sawa
hahaha lol

Usijali bibi mzuri nimesha mtuma malaika
akamwite Hashycool ..
atakuja muda si mrefu...

Na TF nambembeleza aniombe vocher naona
Anaringa ringa
hembu mwambie aniombe haha lol

yani acha tu dear....mwanaume mtu mzima anakudekea kama vile wewe mama yake...anabana pua kabisa akiomba vocha.....:tongue:

TF is a real man ....akikuomba vocha mpe tu ila hana tabia hiyo!!:washing:
 
nitakutafuta unipe somo zaidi maana wako wengi kweli wa jinsi hiyo.it seems ninabahati mbaya nao

Huna bahati mbaya nao bali unatafuta ambao sio size yako hamuendani na matokeo yake ndio hayo. Muombe mungu akupe mpenzi aliekuandalia mbona utafurahi na roho yako
 
Hapo hatujawaambia wafanye kazi zingine za kiume

halafu mkishatwambia nyinyi mnaanza kufanya kazi za kike kama kuzaa n.k. Mbona mnapenda kujidhalilisha wanaume wa sasa. Kila mtu na abaki na majukumu yake ambayo mwenyezi mungu alimpangia mengine pande zote mbili ziamue kusaidiana tu na si lazima
 
Back
Top Bottom