Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Yaani ningekuta kuna dialled kwenda kwako ningeifuta fasta.

Ila we naye umezidi uzuri, punguza kidogo watu wapate confidence bana.
Mzuri niwe mimi mchumba niringe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilimchokoza ila hata kama ananitamani hawezi. Mmoja aliniambia ameshatafuta hela amepata nimkubalie sasa. Sasa huyo si ndo wale wale wa sina hela au kazi nzuri ntakuweza wapi
hahaha inferiority complexity ipo kila mahali, kuna wenzako ukiwa naye rafiki akapata tatizo genuine ukamsaidia, baadaye ukimsaidia anaanza kusema 'unaninyanyasa kisa unanisaidia' ..., embu fikiria.
 
hahaha inferiority complexity ipo kila mahali, kuna wenzako ukiwa naye rafiki akapata tatizo genuine ukamsaidia, baadaye ukimsaidia anaanza kusema 'unaninyanyasa kisa unanisaidia' ..., embu fikiria.
Eeh. Hawa wengi sana
 
Hapana. Mkaka mzuri tu na nilimsifia kwa driver wetu mmoja naona kaenda kumjaza basi na yeye akaja na kigezo chake cha udereva apate papuchi
hahahaha asa huyu shida yake ni ilele alosema mama Sabrina, hataki uanze kuulizia mambo ya future, anataka tu nanihii
 
kusema ukweli toka moyoni, hata story za "mwanaume domo zege" mimi huwa naziskia tu kwa watu huwa siamini kama mwanaume unaweza kabisa kushindwa kumapproach mwanamke na kuongea naye....unamfuata tu kama akikataa unarudia tena, uking'ang'ania bado tu anakataa ukathibitisha hakupendi si unamwacha unatafuta mwingine?....mapenzi ya wazungu ya kwenye tamthilia ati unampenda afu humwambiii siku mwenzio akichukua kitu unaugua ugonjwa wa moyo...
 
Uzuri gani? Labda uzuri wa akili ndo kidogo ninao ila kwingine sina uhakika na mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina wasi wasi na hicho kioo chako cha kujitazamia kitakuwa sio genuine
 
Yaap wapo hao wanaotumia kama kigezo ila si wote
Wanaume wengi hutumia haka kamsemo ooo wewe hata sio hadhi yangu maana anataka kula na kusepa ili asingizie we sio hadhi yake kumbe wala sio mkaaji wala hana mapenzi yoyote,wana gia sana,mwanaume akikupenda hata uweje hawezi ogopa
Hili la kwako linanikuta sana Mimi wananiogopa mpk najishtukia my dear na hivi naishi uswazi ndo looh!

Najikuta nakaa naishi na ugwadu wangu tu!na siwezi kujitongozesha basi daahh!napambana tu hali ilivyo!!

Kuna mtu pale kitaa nimemzoea as a friend kuna siku walimuuliza umemzoaje yule dada[emoji23] [emoji23] mtu wenyewe miye mbuzi tuu sina lolote!
 
Ina maana ukimpenda Zari hutamtokea sababu huna pesa? Pesa zinatafuta ila mapenz yanachipukia popote na kwa yeyote. Usitumie kazi yako au sura yako kama kigezo cha kutompata unaemtaka wakati unamtongoza.
I understand, and nakubaliana na wewe that you have to express your feelings whatever the situation is, but my point is we Men , Tunatakiwa kuweka mazingira rafiki ambayo yatakufanya kuwa na confidence ya kuwa na Msichana/Mwanamke fulani and hapa sijazungumzia specific about Money, hapa nimeinclude issues kama personality, attitude etc.
 

Naona mkuu umepata mahali pa kufanyia marketing hahaha.

Wapiga kelele mara nyingi siyo watendaji, punguza kelele.
 
Eeh. Hawa wengi sana
si unaona sasa? usitushangae. pia kuna over thinking about something. unaweza kuifikiria changamoto fulan sanaaaaaaa kabla hujachukua hatua yoyote, so by the time unaanza kuchukua hatua, ulishatengeneza picha flan ngumu kichwani.

ndo hivi unakuwa hueleweki unasema nn....

si kwenye mapenzi tuu.., hata mambo mengine ya maisha.

usishangae sana, we mconside mshkaji atakaa sawa tu muda siyo mrefu, na utaenjoy uanaume wake muda si kitambo
 
Mzigua wangu jamani hivi bado ujaridhika na mimi tu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…