utakuwa umesingiziwa sehem si bureHebu agiza maji kakangu ntalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakuwa umesingiziwa sehem si bureHebu agiza maji kakangu ntalipa
kumbe hilo tuuuu..., ngoja nianze kukaa karibu na mdada mwingine kila siku, akome na wivu.Wivu utazidi. Nikiona unataniana na mtu mwingine mie jiroho litapaa.
Hutaki mchepuko bae nijitolee? Au utachagua mi na Sakayo sio mbaya pia. [emoji23][emoji23]
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka
TrueShida sio kujiamini, ni kipi kitakachokufanya ujiamini??...that's the point...Kijana wa kiume/Mwanaume focus kwenye kutengeneza maisha yako Swala la kujiamini lipo tu once you have something, mambo ya Zari la mentali siku hizi hamna, mapenzi ya ujanja ujanja, uwongo mwingi, Umarioo yamepitwa na wakati na ni kujizalilisha tu....and trust me utafanikiwa kuwin mwanzo but at the end of the day tegemea kuchokwa tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nini lakini jamani? Unaona nataka ntupie unanizibia ndugu
Ana chura halafu huwa namwambia mzee wa chura angekuona angekufwa [emoji23]Kama chura ipo kuna risk nikakukosa pia![emoji53][emoji53]
Nikiona chura natetemeka![emoji53][emoji53][emoji53]Kwanini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiiiii tutakufwa ghafla yaaniSiku pm zikifunguka yarab. Watu wema jukwaani ila sasaaa